Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,361
Hawa ni sawa na waha.....waliochangamkaRafiki, oa.
Warundi ni sawa Sawa na wanawake wa kiha wa zamani.
Ndoa ya Mke wa kirundi utaivunja mwenyewe na sio yeye.
Kuoa au kuolewa?Ushauri wenu wakuu!!…
Naona wanawake wa burundi bado ni wazuri sana kwene kutunza familia.
Nb ila nimeambiwa hawa ukicheat wanakuua
Ni industrious women sana.. Potea mwaka mzima, nyumba yako na familia yako utavikuta hata kwa kufanya odd jobs.Hawa ni sawa na waha.....waliochangamka
Rafiki, oa.
Warundi ni sawa Sawa na wanawake wa kiha wa zamani.
Ndoa ya Mke wa kirundi utaivunja mwenyewe na sio yeye.
Ni industrious women sana.. Potea mwaka mzima, nyumba yako na familia yako utavikuta hata kwa kufanya odd jobs.
Daaaa safii sanaaa kama wako loyal ...na hardworkingNi industrious women sana.. Potea mwaka mzima, nyumba yako na familia yako utavikuta hata kwa kufanya odd jobs.
As long as umempenda, oa.Hapo ndo nataka
Sasa unamuoa wa nini ?kwaiyo naweza oa nikamuacha burundi namm nikaishi tanzania
Oa MchagaNi industrious women sana.. Potea mwaka mzima, nyumba yako na familia yako utavikuta hata kwa kufanya odd jobs.
Mvute uko uliko.. Usioe ikiwa maisha yako bado ni ya kuzunguka zunguka unless unazunguka nae.kwaiyo naweza oa nikamuacha burundi namm nikaishi tanzania
Lakini yeye kapata Mrundi, Warundi bado ni watu poa sana hasa wa kike.Oa Mchaga
Residence permit ndo msalaLakini yeye kapata Mrundi, Warundi bado ni watu poa sana hasa wa kike.
Kwani TANGA kunashida gani mkuu?Ushauri wenu wakuu!!…
Naona wanawake wa burundi bado ni wazuri sana kwene kutunza familia.
Nb ila nimeambiwa hawa ukicheat wanakuua
As long as umempenda, oa.
Ukimleta bongo kule kwao atahesabika kama diaspora.
Tarehe 8 urudi shulekwaiyo naweza oa nikamuacha burundi namm nikaishi tanzania
Kwani TANGA kunashida gani mkuu?
Oa Mchaga