Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,329
- 23,259
Wadau baada ya kuchoshwa na saboofer za mchina nataka nijiongeze kidogo, maana kila mwaka nanunua mpya!!
Napendelea brand ya samsung, ila hata kama kuna nyingine nzuri sawa!! Nahitaji kujua bei zinaanzia kiasi gani na ubora wake pia!!
Bajeti niliyonayo ni 600k!!
ni kweli ndugu yangu PANASONIC ni wazuri sana tu au kama anajiweza pia aangalie JVC lakini asihangaike na SAMSUNG kwenye music si wazuri mimi huwa hata sihangaiki kujaribu music wa SAMSUNG najua ni mbwembwe tu na bei kubwa lakini kitu chepes kama mabox ya mchina. MUSIC utapata PANASONIC,SONY,JVC na hata LG ukiwa na mtu nje au ukiweza kumaliza biashara nunua BOSE. hii ndo majirani wataandamana kukutaka uhame mtaani maana utabomoa nyumba zao na kila siku mabint watakuwa wanakuja kwako waje kusikilizia nyimbo zao.
Kwa sh ngapi
Kila lililo la kheri mkuu...
Nunua radio badala ya home theater. Nunua panasonic au sony hawa ndo wakali achana na samsung sio wazuri kwenye muziki
Nunua sony ndg zipo poa sana
ni kweli ndugu yangu PANASONIC ni wazuri sana tu au kama anajiweza pia aangalie JVC lakini asihangaike na SAMSUNG kwenye music si wazuri mimi huwa hata sihangaiki kujaribu music wa SAMSUNG najua ni mbwembwe tu na bei kubwa lakini kitu chepes kama mabox ya mchina. MUSIC utapata PANASONIC,SONY,JVC na hata LG ukiwa na mtu nje au ukiweza kumaliza biashara nunua BOSE. hii ndo majirani wataandamana kukutaka uhame mtaani maana utabomoa nyumba zao na kila siku mabint watakuwa wanakuja kwako waje kusikilizia nyimbo zao.
zinaanzia bei gani?
Hivi mda wa kusikiliza mziki mnaupataga wapi ?natamani siku moja na mm niskilize mziki nyumbani.!!
Ntumie ujumbe namba yangu ni0764411446 nataka mashine hometheaterWakuu kwa wanaohitaji vitu vya eloctronics vyovyote vile ani pm namba yake nimtumie toka huku zanzibar.