tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
samsung hom theater ndo mpango mzima natumia hiyo bizaa mwaka wa 2 huu kitu bado kipya mkuu ila bajet yako czan kama itatosha
yako ulichukua kwa sh ngapi!?
samsung hom theater ndo mpango mzima natumia hiyo bizaa mwaka wa 2 huu kitu bado kipya mkuu ila bajet yako czan kama itatosha
nilichukua kwenye 750k c unajua samsung wanauzia jina na brand zao kaka ila mziki mzur kwa kwel cjajua sasa ivi labda bei imepungua
Kama utojali huku zanzibar zinapatikana kwa bei ya kawaida sana.
Aahaaa kaka acha kumtishia bure,mm nimenunua home theater pale samsung agent mwanza pale nata kwa bei ya 250,000 ina deck,spika 5 na woofer moja.
Nenda Sony mkuu
samsung hom theater ndo mpango mzima natumia hiyo bizaa mwaka wa 2 huu kitu bado kipya mkuu ila bajet yako czan kama itatosha
Kama ukipenda kuweka hvo,ila tofauti ya hiyo ya 250 na nyingine mnazozitaja ni kua speaker za hzo nyingine zina stand.ila function zote kama dvd,aux,fm radio,USB, recording kwenye usb ninapata kwa hyo 250 tu.Wewe ulibahatisha, maana hiyo bei ni ya DVD player peke yake.
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.