Sasa ninaona tatizo.
Shem, opsss kaka mbu huyu shemejio anasumbuliwa na guilty conscious kwani anajichukulia kuwa ndiye chanzo cha wao kukosa watoto (Ile abortion ya ujanani) sasa kung'ang'ania kwake ni denial status hataki kukubaliana na ukweli (na kweli si rahisi kukubali kuwa eyey ndo chanzo) so ana amini iko siku atafanikiwa na ku-prove wrong walimwengu. Isitoshe pengine alikwishaapa kwa mumewe kuwa yeye ujanani alikuwa 'mtoto mzuri' sasa report ya dr imetoa visivyo so anatamani kuprove wrong madr. ili amhakikishie Mr. kuwa kweli yeye alikuwa mtulivu na madr. ndoi waliokosea.
Kwa hali hii Kaka ni ngumu kusolve unless mdada akubali kuwa hata fanikiwa na mume amsaidie kumpa confidence kuwa yameshamwagika hayazoleki but amwonyeshe upendo na kumhakikishia atampenda despite all.
well,
kwangu mimi the whole situation looks UNBEARABLE!
Sasa ninaona tatizo.
Shem, opsss kaka mbu huyu shemejio anasumbuliwa na guilty conscious kwani anajichukulia kuwa ndiye chanzo cha wao kukosa watoto (Ile abortion ya ujanani) sasa kung'ang'ania kwake ni denial status hataki kukubaliana na ukweli (na kweli si rahisi kukubali kuwa eyey ndo chanzo) so ana amini iko siku atafanikiwa na ku-prove wrong walimwengu. Isitoshe pengine alikwishaapa kwa mumewe kuwa yeye ujanani alikuwa 'mtoto mzuri' sasa report ya dr imetoa visivyo so anatamani kuprove wrong madr. ili amhakikishie Mr. kuwa kweli yeye alikuwa mtulivu na madr. ndoi waliokosea.
Kwa hali hii Kaka ni ngumu kusolve unless mdada akubali kuwa hata fanikiwa na mume amsaidie kumpa confidence kuwa yameshamwagika hayazoleki but amwonyeshe upendo na kumhakikishia atampenda despite all.
...Tatu baada ya wao wawili kukubaliana waitishe kikao cha pande zote mbili na kuwaeleza situation yao na MAAMUZI yao kama wanandoa. Kisha watoe MSIMAMO wao nahisi hata hao wapiga kelele watafunga vinywa!
Mbona kuna wengi tu hawana watoto na karama na baraka zao wapewazo na mwenyezi MUNGU wanazitumia kusaidia mayatima na wasiojiweza?!
...shukran Shishi,
kama nilivyosema awali, huyo bi mdogo alificha 'maradhi' yake mwanzoni, ndio maana nikasema aliutumia vibaya ujana wake, na Mw' Mungu hajapenda bado kumpatia mtoto...kwanini nasema hivi;
Bi mdogo katika siku za awali za ndoa tuseme miaka miwili na ushee alikataa ushauri wa mumewe kwenda kufanyiwa utaalamu wa madakitari. Badala yake, alitumia sana mitishamba pamoja na huduma za 'watafiti' wa jadi kwa kudhani labda kafungwa kizazi au labda miti shamba ingemsaidia.
By the time Bi mdogo ame exhaust means zote za kienyeji kutafuta mtoto, ndipo Bw Mkubwa alipompeleka mkewe kwa madakitari bingwa kujua kulikoni, na huko ndiko alipoambiwa mrija upande mmoja ulitolewa wkt wa abortion (ujanani), na upande wa pili umeziba, na hautaweza kuzibulika!
Pamoja na hayo, Bw'mkubwa alikubali IVF treatment ya kwanza, ikafeli... IVF treatment ya pili, ikafeli,... sasa Bw'mkubwa anasema imetosha. Mamilioni kadhaa yamepotea, Mw'Mungu hajapenda. Bi mdogo hataki...!
Bw'mkubwa keshampa rukhsa, kama anataka mtoto kwa hali yeyote iliyo, basi rukhsa waachane akatafute atayeendelea kutumia mamilioni kwa IVF treatment, Bi mdogo hataki...!
Si karaha hiyo? 😀
mbona unasema mke tu nyie ndio one sided people mbona hata wanaume kibao wako infertile............nasikia kaka wako jako alikuwa hivyo na alifanya adoption na nadhani ni jambo zuri tu...............
Hapo mzee umetega sana!!!!
...kwa mke na Mume, ambaye (mke) aliyemuoa ni Infertile, (mirija na kizazi kimeharibika).
BTW; Adoption is out of question!
Mkuu naomba ushare hii kwenye Infertility and Adoption Support Group, ni social group mpya tunahitaji hizi experience na michango ya wana JF ili tuwe na mahali pa kuzungumzia haya mambo na kusaidiana.
Nitaacha comment zangu kwa huyu dada kwenye Infertility and Adoption Support Group kwa faida ya wengine.
Mbu!
Kuna namna tofauti unavyoweza kusaidia;
cha kwanza ni kujua state ya huyo dada, she seems to be proud and a hero of herself, thats why she wants her baby plus trying to cover up her past through denials and competition. Mimi ningeshauri apate psychiatrists wamsaidie kwanza kumuweka sawa kuhusu elimu ya uzazi na umuhimu wa maandalizi bora ya uzazi na afya yake. She wont get pregnancy kama ana stress
Cha pili ni kuhusu yeye kuwa mke mdogo, hata wewe ungekuwa mwanamke, ungetamani mazao yako mwenyewe, hasa ukizingatia laiyetangulia alipata watoto, so there is a social pressure on her; cha maana ni kumsaidia tu
Tatu ni kuhusu stte ya huyo jamaa, lazima akumbuke kwamba kutosheka kwake siyo kipimo cha mahitaji ya familia, he needs to support his wife
Nne ni kuhusu IVF, kaifanyia wapi?? mimi ningeshauri aende india kuna wataalam wazuri sana!!
Sasa twende mbele
- Tumsaidie jamaa ajaribu IVF ya nje ya nchi kwani lazima mama aridhike na all options available kabla ya kukubali matokeo
- pia kuna baadhi ya watu walitoka nje kwa muda kupunguza stress na wakafanikiwa
- Tukumbuke kwamba kitendo cha bi mdogo kwenda kwenye mitishamba na mambo kama hayo ni hisia za kuchezewa na bi mkubwa, kwa hiyo tujaribu kumsaidia apunguze presha na imani potofu, ili afuate maisha yaliyonyooka. cha maana hapa ni kumrejea muumba
- Bwanamkubwa atake askitake lazima amsaidie huyu dada kumaliza available options, kwasababu sometimes huyu dada may go overboard just to prove that she can not conceive, hapo ndio UKIMWI nao hupata nafasi
- Mwisho kabisa ni kuondoa hayo mawazo ya dada kuharibu ujanani kwani si lazima iwe chanzo cha kutopata mtoto, kuna baadhi ya matatizo yanaletwa na sisi wanaume ndani ya ndoa na kuharibu uzazi
Duh... Hapo sasa naona issue imekuwa more complicated but interesting; nijuavyo mimi, one has to give way! either mwanamke akubali yaishe au bwa'mkubwa, its like a tug of war hapo!!!
Ila tufahamu kwamba wanawake ni watu wa misimamo, akitaka kitu chake ni lazima apate au ahakikishe hakiwezekani, sasa asije akafikia kutafuta alternative means kama kutembea nje ya ndoa ili kuhakikisha tu kwamba yeye ndio mwenye matatizo
The only way forward in counselling and keeping their relationship active and busy! travels, investiments, education etc...
... Sasa tatizo la hawa wanawake infertile iwa wanakuwa wana wivu balaa.