''ushauri nasaha na kunasihi''

''ushauri nasaha na kunasihi''

malobosato

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
61
Reaction score
4
Wana Jf,natafuta watu,taasisi waliosomea ushauri nasaha na kunasihi,waliotayari kujitolea kutoa ushauri shuleni,ni Dar es salaam.naomba kama yupo/wapo wanijuze.
 
nipo hapa!! Mshahara shilingi ngapi? Au ndiyo unataka kutuma barua ya maombi ya kufadhiliwa na wazungu kupitia migongo ya watu? Hizi NGO za ki siku hizi zimefungua ukurasa mpya wa wizi wa kuaminiwa.
 
Karibu. Nitafute napatikana Kinondoni Primary School tuongee kwani ni kweli vijana wengi wahitaji counselling ya kutosha ili kuwaokoa wao na nchi yetu japo wanasihi hawathamiwi nchi hii.
 
Karibu. Nitafute napatikana Kinondoni Primary School tuongee kwani ni kweli vijana wengi wahitaji counselling ya kutosha ili kuwaokoa wao na nchi yetu japo wanasihi hawathamiwi nchi hii.

asante sana mnasihi.
 
Wana Jf,natafuta watu,taasisi waliosomea ushauri nasaha na kunasihi,waliotayari kujitolea kutoa ushauri shuleni,ni Dar es salaam.naomba kama yupo/wapo wanijuze.

mimi nimesoma course ya guidance & counseling ktk chuo kikuu cha Mount Meru kilichopo Arusha-Tanzania. Nipo tayari kujitolea. (0754 757114)
 
Back
Top Bottom