Vipi kichwa kidogo kinapokea mawasiliano kutoka kwenye ubongo?Heshima zenu wakuu, naombeni mnishauri, nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi, sijisikii kabisa kupenda ninaweza nikaingia katika mahusiano haitachukua muda upendo utapotea ghafla nitajikuta namchukia yule msichana niliye naye, ni miaka miwili sasa nina hilo tatizo, nifanyeje niondokane na hilo ukizingatia umri unakwenda nahitaji kuoa niwe na familia!? I wish if I could get someone to pray for me labda naweza kubadilika
tehe tehe tehe teheMshukuru mungu kakuepusha na mengi.
hahahahahahahahahahaNjoo kwangu mpendwa nikupatie dawa
Umenichekesha kwel miss mtafutajiwatu wa kukuombea hakuna kila mtu aende mbele za bwana mwenyewehttps://www.youtube.com/watch?v=rPxemBcyT2o
nimekuchekesha na nini mkuuUmenichekesha kwel miss mtafutaji