nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Mkuu amegundua hilo kwa kuwa baada ya kukata sikuzima simu alipiga sikupokea....Nakupa huu mfano unaendana na tukio lako.
Mjinga na mwenye akili wako darasa moja na mmoja anajua kua yeye ni mjinga na mwingine anajua kua yeye ana akili.
Tatizo litakuja mwenye akili atakapotaka ajulikane kua yeye ana akili kwa kumwambia mjinga kua "Mimi nina akili wewe ni mjinga tu" huyu mjinga akipaniki ni reaction ya kawaida wala haina shida.
Ni kweli anakusomesha lakini kukupanda kichwani na kujionyesha kua ana mamlaka amekosea.
Kama hakukupigia tena, tumia simu ya mtu mwingine mwambie simu yako ilizima chaji, umepiga muendeleze mazungumzo.
Yuko mkoa mwingine mkuu.....Shetani mbaya, kiatu chake dawa...usimpigie simu, nenda kamuombe msamaha uso kwa uso, mtu aliye na nongwa wanakuwaga na visirani.
Nimekupenda bure ngoja nikakupe kura yangu kule uchukue kombe la ushindiNakupa huu mfano unaendana na tukio lako.
Mjinga na mwenye akili wako darasa moja na mmoja anajua kua yeye ni mjinga na mwingine anajua kua yeye ana akili.
Tatizo litakuja mwenye akili atakapotaka ajulikane kua yeye ana akili kwa kumwambia mjinga kua "Mimi nina akili wewe ni mjinga tu" huyu mjinga akipaniki ni reaction ya kawaida wala haina shida.
Ni kweli anakusomesha lakini kukupanda kichwani na kujionyesha kua ana mamlaka amekosea.
Kama hakukupigia tena, tumia simu ya mtu mwingine mwambie simu yako ilizima chaji, umepiga muendeleze mazungumzo.
Sikia nikuambie cha kufanya mwambie simu ilikata yenyewe na baada ya kukatika ulitoka nje na uliporudi haukuwa na credit ya kuweza kumpigia......tena mpigie simu usiku huu,trust me lazima atakuelewaMkuu amegundua hilo kwa kuwa baada ya kukata sikuzima simu alipiga sikupokea....
Asante mkuu...Sikia nikuambie cha kufanya mwambie simu ilikata yenyewe na baada ya kukatika ulitoka nje na uliporudi haukuwa na credit ya kuweza kumpigia......tena mpigie simu usiku huu,trust me lazima atakuelewa
Hasira zitakuwa zimepungua...Mpigie baada ya siku mbili muombe msamaa,..
Hasira zitakuwa zimepungua...
Usiache kumpigia sasa..........Asante mkuu...
Wewe mpigie simu leo unajua unavozidi kukaa unajijengea picha mbaya juu yako.....shauri yakoHasira zitakuwa zimepungua...