Ni God sio godJaman cjawh kufikiria kuchepuka ever since nimeolewa na wala cna mchepuko even god knwz if u wish kuadvice do it lakn cio kujaj na kuconlude basng on ur thouts its not far
It makes no sense if aye read it loud, don't complicate...Ni God sio god
Wat I meant ni kwamba anajua kumridhsha mwanamke ipasavyo ndo mana nkasema zaid Ya!!!
Jamani habari zenu,
Naombeni ushauri about hii kitu,
Mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, niko mbali na my hubby kutokana na kazi yake huwa anakuja after a month or even 2 months, shida ni kwamba huwa nakuwa na hamu sana ya kusex nae lakini akija tukishafanya just once nakinai kabisa and nakua totally bored, sometimes huwa nakuwa mkali every time he touches me, na sio kama hajui mapenzi he knows zaidi ya, but sijui nini tatizo na hapo mwanzo sikuwa hivyo.
Please guyz nishaurini.
Shida yako kubwa ni wivu huwa unahisi mambo unayopewaga labda kuna wangine wanayapata kila siku mwisho unaanza kumchukia baada ya tendo kufanyika,njia jiamini kuwa upo wewe tu anaefaidi mautamu,usimuwazie mabaya mwezio utafurahia hata akikupa raha zaidi ya mara moja utaitaji zaidi na zaidiJamani habari zenu,