USIJIUE USIJIDHURU, kwa imani yako nenda kwa kiongoz wako wa dini mueleze aksaidie kimaombi, anza tabia ya kisali asubuh mchana na usiku hata kwa dakika 1 tu inatosha... Kama utaweza pia kwa mwezi funga siku 3 mfululizo, ukiweza siku 7 mfululizo. Mungu yu pamoja nawe usiogope ni changamoto za kawaida ktk maisha