Ushauri: Nahisi ana mwanaume mwingine

Ushauri: Nahisi ana mwanaume mwingine

Habari wakuu,

Naombeni msaada wenu,

Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa na miezi kiukweli yeye kanidizi miaka ya umri kama miwili hivi (mapenzi sio umri lakini) ila kuna tatizo mpenzi wangu amekuwa mtu wa kujiaminisha sana kwangu huwa namuuliza kama yuko na boy mwingine ila dah amekuwa mtu wa kunizidi akili kabisa hali nahisi ananichit tu kuhusu show love anafanya kama kawaida bila tatizo lolote.

So naombeni guys tricks njia gani nitamgundua kama ananichit maana nimejaribu kila njia ila naambulia kuaminishwa tu.

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimchunguza sana bata kumla ni ngumu sana
 
Watu wengine sijui mtakuwa lini, sasa unalazimisha awe anaku cheat au?

Hujamkamata, hujamshtukia, hujaambiwa na mtu hujaona chochote kisa tu kakuzidi akili basi lazima anakucheat, we sijui wa wapi asee. Ukipata boya unalalamika ukipata mwenye akili unalalamika. Acha utoto, tumia hiyo akili yake msonge mbele boya wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia ushauri huu utakusaidia sana!
e1aa4a26474f60228ef7f869a1be0b4d.jpg
 
Back
Top Bottom