Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri na Tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

Discussion in 'JF Doctor' started by Slave, Apr 30, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili.

  Jamani mtoto wangu ana tatizo la kikohozi kisichopona.Nimejaribu kumpa kila aina ya dawa ninazoshauriwa na madaktari matokeo hupata nafuu kwa wiki moja tu.

  Huyu mtoto ana miaka 3.5 tangu kuzaliwa amekuwa na tatizo la kunyonya vidole hali inayonifanya nidhani kuwa pengine vidole ndio chanzo cha tatizo lake,maana kama mnavyojua watoto anaweza ashike hiki mala kile.

  Kwa ufupi mimi na shemeji/wifi yenu tumefika mahala tunamuonea huruma mwanetu juu ya kumnywesha madawa ya kila aina.

  NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU.


   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tulia hapa hapa wanakuja kukuambia kitu wajuzi wa mambo.
   
 3. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata mie nasubiri huoushauri! najua JF ni kisima cha utaalam na hekima.
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ok susy nipo online full time.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  jaribu kumpa asali mbichi..
   
 6. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwanini usimpeleke mtoto kwa daktari akapimwe? tena ukizingatia kikohozi chenyewe ni cha muda mrefu.

  daktari atachukua history na kufanya physical exam, halafu kushauri vipimo vipi vya maabara vifanyike na hatimaye kumwandikia dawa ya kutumia.

  Nakushauri peleka mtoto apimwe na daktari, kulikoni kusubiri ushauri kutoka hapa
  .
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Futota

  Mkuu mpaka nafika hapa ujue tayari nilishafanya kumpeleka hosptl ndio maana nahisi pengine dawa zinaweza kuja kumzuru. Kumbuka huwezi kufika hospital ukapimwa na ukatoka bila dawa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 723
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  mpeleke kwa dk. bingwa wa watoto muh2. inaweza kuwa tb hyo, acha kupoteza tym
   
 9. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Pole kwa tatizo hilo.Mimi pia nilishapata tatizo kama hilo kwa watoto wangu.Dactari mmoja akaniandikia dawa kama kawaida na kunishauri niwe nawachanganyia Asali mbichi na Limau niwape kadri niwezavyo huku wanakunywa dozi yao aliyowapa.

  Huu ni mwaka wa 10 sasa hajaumwa tena kikohozi cha namna hiyo,hivyo jaribu kumpa Asali na Limao nyingi kadri uwezavyo lakini usiache kumpa dozi ya hospital kama ameandikiwa
   
 10. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hi slave,pole sana. Kwenu mna history ya asthma?
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Asali ya nyuki wadogo kijiko cha chakula kimoja, changanya na punje 5 za kitunguu swaumu kilichotwangwa then mpe. Fanya hivyo mara 3 kwa siku.
   
 12. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  UPOPO

  Mpendwa naanza kupata picha kwamba limao+asali+vitunguu swaumu.shukran sana ndg.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kitu athma kwetu sijawahi ona labda kwa wale ma babu kizaa babu siwezi jua.
   
 14. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  UPOPO

  Mpendwa naanza kupata picha kwamba limao+asali+vitunguu swaumu.shukran sana ndg.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Anatumia maziwa gani?kama ya ngombe simamisha mpe ya soya!kama ya unga badilisha!chunguza na vyakula anavyokula kila siku ubadilishe!Asali nyuki wadogo changanya na tangawizi mbichi iliyosagwa chemsha kwa muda mfupi kisha mpe mtoto asubuhi na jioni kijiko cha chai
   
 16. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ok,anaweza kua na allergy. Plz mpeleke hospitali akafanyiwe full blood picture na allergy test ili mjue. Inawezekana kuna chakula kinamletea hyo kikohozi.
   
 17. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ok ndugu nadhani ngoja nianze na hilo zen nifuatie hayo mengine. nashukuru.
   
 18. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilisikiaga eti mtoto akikohoa sana na kikohozi hakitibiki ni kwamba ana kimeo. Sina uhakika na hilo
   
 19. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Hii imekuwa na matokeo mazuri sana kwa hali uliyoisema ya huyo mwanao 1.kata slace za Limao 2 (siyo ndimu)pamoja na maganda 2. Vitungu maji 2, 3. Vitungu saumu 2, 4. Tangawizi 2.
  Saga mchanganyiko huo kwa brenda au kinu
  Chemsha mchanganyiko huo na lita 2 za maji safi mpaka upate uji mzito. Acha u poe then chuja then weka kwenye chombo safi, iweke kwenye fridge. Chukua kijiko 1 cha chai cha asali changanya na vijiko 2 vya chai vya mchanganyiko huo mpe asubuhi mchana na jioni wiki moja pia ni kinga na hata watu wazima wanaweza kuitumia
   
 20. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ok,pole sana. Kuna dr mmoja ebrahim haji hospital ni mzuri sana kwa hii ugonjwa. Anaitwa dr. Ebrahim
   
Loading...