My advice fanya biashara utakayoweza kusimamia vyema.
(1)Biashara ya juice.
(2)Bodaboda.nipo na jamaa yangu now yupo na hiace 6 but alianzia chuoni kwa biashara ya bodaboda .
Ulitaka kuijua vizuri hii biashara kuna nyuzi nyingi za hii biashara.
(3) kuunda mtandao wa madada poa wa chuoni na wanunuzi wa madada poa.(utapiga pesa but inahitaji kutuli na usiri)
(4)Agiza mchele kutoka moro na kutafuta faida ya wastani.hapa lazima uangalie competition ya wauzaji wa chakula kwa mazingira ya chuo. Ili kuweza kupigana kibiashara.
Kila kheri.no 3 usiisome.
Naona umesoma angalia kuna jela.
Sent using
Jamii Forums mobile app