knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,237
Habari wakuu.
Natumai wote ni wazima.
Moja kwa moja niende kwenye hitaji.
Nahitaji kujua juu ya kozi hii ya mechanical engineering lakini juu ya swala la kujiajiri ki binafsi mtu anaweza vipi kujiajiri juu ya kozi hii kumsaidia na kufanikiwa kiuchumi.
Na ni kwa kupitia kujiajiri kwa upande upi au kwenye kitu ambacho kipo powa Sana kupitia koz hii ya mechanical engineering.
Naomba kuwasilisha kwenu wakuu na wale wazoefu na wajuzi juu ya swala la kujiajiri juu ya kozi hii.
Mungu awabariki Sana