Ushauri: Mwanamke hataki nipajue kwao

Mzee Chapuuka

Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
97
Reaction score
243
Salaam wakuu,

Mada tajwa ya husika,

Jamani nina msichana nipo nae muda mrefu tu ila ni kwamba hataki nipajue kwao
siijui tatizo ni nini, je kuna kitu anaficha hapo kwao au inakuaje hadi mwanamke akatae kumwonyesha mpenzi wake mahali anakoishi.

Imekaaje kaaje hii wakuu?
 
Kaa mbali na hiyo makitu mazee, ogopa sana mwanamke wa hivo, anakutumia tu lakini amini nakwambia ipo siku ataachana na ww, shuhuda zipo nyingi tu mbona
 
Unataka kwenda kutoa Posa? Itakua alishawaonyesha wengi kabla yako na hakuona faida yoyote.

Cc: Miss Chagga, Meljons, Arabian Queen, Shunie, Miss Natafuta and Sakayo
 
Sio ww tu, me nko nae kwny relationship miezi 14 sasa, nilitaka kupafaham kwao akanipiga kiswahili.. Nmechukulia kawaida kwa sbb manzi za mjini nyngi zinaishi maisha feki
 
Unataka kwenda kutoa Posa? Itakua alishawaonyesha wengi kabla yako na hakuona faida yoyote.

Cc: Miss Chagga, Meljons, Arabian Queen, Shunie, Miss Natafuta and Sakayo
bora umuulize anataka kupajua ili iweje?
 
una miezi mjuane unataka upajue kwao unatafuta kiki? watu wanakaa miaka kenda ndio anapajua ukweni tena ukienda ni siku ya posa na mengineyo.

hom anaenda mume halali hawaendagi ovyoovyo km unaingia uani.

mwanamkeakikupeleka kwao kiurahisi ujue utaishia kuitwa na kutambulishwa wew ni rafiki sio muoaji /mchumba.
 
Bro labda mke wa mtu huyo kuwa makin sana..siku hizi hadi wanaune tukileta ujinga tunapigwa pipe..utapigwa pipe bure stay away
 
Unataka kwenda kutoa Posa? Itakua alishawaonyesha wengi kabla yako na hakuona faida yoyote.

Cc: Miss Chagga, Meljons, Arabian Queen, Shunie, Miss Natafuta and Sakayo
atakua ni mke wa mtu huyo na kamficha jamaa kuhusu kuolewa kwake
 
Mi mwenyewe sipendi wanawake wapajue kwetu, huyo nitawezana naye.

Naomba namba yake mkuu.
 
Kama anakaa kwao kwa anachofanya ni sahihi kabisa hata hutakiwi kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…