J joat Member Jan 23, 2017 5 0 Jan 27, 2017 #1 Naomba mnisaidie jamani, Mtoto wangu anaupungufu wa damu. Je nini tatizo? Ana miezi nane.
Bonny JF-Expert Member Feb 21, 2013 13,370 29,961 Jan 27, 2017 #2 Pitia hii thread taratibu naamin utapata majibu mengi Upungufu wa wingi wa damu kwa Watoto (Anaemia)