Ushauri: Msichana wa kazi 'ananitega'

na wewe mtege na boxer, hapo mtakuwa sare sare maua
 
ni asiri kutembea na vija kazi ata ukisoma bible imeandika jinsi manabii walivyofanya hivyo kwa wajakazi wao...kama unaona inafaa tembea nae tuu...si wako tena yupo mlangoni kwako..nani wa kukuzuia? au unataka wenzio wasiomgalamia wakusaidie kula?
Ilo pepo ndio nalikemea sana ..
 
ni asiri kutembea na vija kazi ata ukisoma bible imeandika jinsi manabii walivyofanya hivyo kwa wajakazi wao...kama unaona inafaa tembea nae tuu...si wako tena yupo mlangoni kwako..nani wa kukuzuia? au unataka wenzio wasiomgalamia wakusaidie kula?
Nimehisi labda tumekaa nae miaka miwili hajakutana kimwili ..joto lipo juu
 
Hilo pepo huwa ni baya sana mkuu,kuna mshikaji wangu yalimkuta alimtamani housegirl kwa muda wa miezi minne siku ya siku kamvizia wife kaenda job akabaki na beki tatu hm ile amemshika mkono tu anataka aanze kumuimbisha la haula wife kafungua mlango alafu kaduwaa kama dk moja alafu akarudi alipotoka alafu mbaya zaidi wife siku iyo karudi na mdogo wake,wote wameshuudia kila kitu bila chenga [emoji23]
 
Mkuu hiyo sio hadithi kweli [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…