Ushauri: Mpenzi wake anavuta sigara

Kwa maeneo ya mbulu ni kawaida sana kuwaona wanawake wakivuta sigara na tumbaku
 
Mkuu umeamua ku justify uvutaji wa sigara kwa nguvu zote. Kila la kheri.
 
Ndugu mvutaji wa sigara utamgundua aiku ya kwanza tuuu tena ktk swala la mapenz usijue mwambie aache masihara
 
Uvutaji sigara uliopitiliza hasa kwa wanawake ni hatari kwani hiyo inaweza kupelekea kupata kansa ya kizazi kwa mwanamke (Cervical Cancer), kama risk factor


Nb: Ni vyema mkampatia hii elimu huenda akaona madhara yatokanayo na hiyo tabia. Na katika NDOA hilo suala linaleta changamoto gani
 
FEGI MBONA KAWAIDA TU MTU KIBAO ZINAVUTA. HAKUNA ALIE PERFECT KILA MTU NA MAPUNGUFU YAKE..KILA ANAEMCHUNGUZA ATAKUTA ANA TATIZO..UNAEZA KIMBIA FEGI UKAKUTA JANGA LINGINE KUBWA ZAIDI..AMSAHURI TU AACHE KUMWACHA SO ISHU..HAKUNA ALIE MSAFI DUNIA HII..KATIKA MAHUSIANO UAMINIFU NDO KITU CHA MSINGI VINGINE VINAREKEBISHIKA
 
kweli mkuu..
 
ila kuna watu wenye ustadi wa kutunza siri mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…