KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Sifa ya beberu kunuka
Is this a make up story or typo error?
Mume na upande wa kanga tena....!!!
Wakuu hili tatizo analo mme wa mdogo wangu yani hawezi jisafisha vzr na ni mtu mzima unakuta kwenye pichu kuna ile dead matter, ama akitoka job anavaa kanga sasa inapita pale ikweta akivua tu majanga. Nimejaribu kumshauri mdg wangu amwambie tu anasema ameshamtell vya kutosha hadi amechoka.
Hivi anaweza msaidia vip hii hali? Unajua tena kufua divi la mtu mzima na Dar es salama yetu maji shida, tafazali ushauri muhimu mdg wangu kinyaa kinamsumbua na namuonea huruma sana
Well saidMambo mawili ukubali moja:
1 Hii story inakuhusu mwenye!
2 Ninyi [wewe na huyo unaemsemea] ni wapuuzi!!!! Kwanini ni wapuuzi?
...
Moja miongoni mwa nguzo za kusimamisha ndoa iliyobora! Kunakitu kinaitwa USIRI. Siri inajenga kujiamini na kupunguza maadui ktk ndoa yenu!
Itakuaje aje kukuambia siri hiyo? Ivi haoni ameshakujengea dharau dhidi ya me wake?
Na kama huyo me aliashaambiwa weakness hiyo na ameshindwa kujirekebisha, jee unataka tukamtawazishe?
...
Just imagine, tatizo hilo angekuwa nalo baba yako, na mmeshaongea nae kuhusu hilo tatizo, but hajabadilika, jee ungetoka na kwenda kumwambia shoga yako?
Huyu Bwana "mchamba vibaya" ana dalili za UBWABWA.......
Is this a make up story or typo error?
Mume na upande wa kanga tena....!!!
Huyu Bwana "mchamba vibaya" ana dalili za UBWABWA.......
Is this a make up story or typo error?
Mume na upande wa kanga tena....!!!
Huyu Bwana "mchamba vibaya" ana dalili za UBWABWA.......[/QUOT
yan nimecheka kama kichaa
Mleta mada unachanganya mambo, kwanza kabisa huko unakokuelezea si kutawadha. Huko kunaitwa kustanji. Kutawadha ni "process" nyingine kabisa.
Nakushauri uchukuwe kitabu chenye "hukumu za kustanji" utapata faida kubwa.
Kwa ufupi, yeyote aendae haja kubwa anatakiwa ahakikishe anajisafisha mpaka ule "ulaini" unapotea na hauhisi kabisa. Ni vyema akianza kwa "toilet paper" akamalizia kwa maji kama ana matatizo.
Pia inawezekana ana tatizo la kiafya nashauri akishaelewa kustanji sawa sawa na kama hali inaendelea amuone daktari.