Ushauri: Mke wa Lecturer ananitaka kimapenzi

Asubuhi umekuja na Uzi umepigwa chini,mara wewe domo zege,haya hiyo imejileta ushidwe tena ,usije Leta Uzi tena wakuomba ushikiwe mguu,wakati unatafuna
 
Mke wa lecturer ananipenda lakini mimi simtaki, nifanye nini wakuu?

Mara ya kwanza nilikwenda na Lecturer kwake, siku hiyo mke wake akaniomba namba hadi leo ananimbia niwe naye kimapenzi.
Kubali bhana achaga utoto
 
Mke wa lecturer ananipenda lakini mimi simtaki, nifanye nini wakuu?

Mara ya kwanza nilikwenda na Lecturer kwake, siku hiyo mke wake akaniomba namba hadi leo ananimbia niwe naye kimapenzi.
mkanyage mke wa lekchara mkanyage tena mkanyage potepote fa mm famasihala nini weee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…