MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Mke wa lecturer ananipenda lakini mimi simtaki, nifanye nini wakuu?
Mara ya kwanza nilikwenda na Lecturer kwake, siku hiyo mke wake akaniomba namba hadi leo ananimbia niwe naye kimapenzi.