Ushauri: Mke wa kaka yangu kanywa sumu

Ushauri: Mke wa kaka yangu kanywa sumu

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,315
Habari wakuu

Hivi ikitokea mke/mpenzi wako kaamua kunywa sumu kisa umemshtaki kwa wazazi wake kwa kukuibia pesa na una ushahidi.

Je, mtu kama huyu niwa kuendelea kuishi nae?

Kaka angu hapa yamemtokea anaomba ushauri maana bila juhudi za madaktari mke wake alikua anaondoka duniani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom