Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Kwenye 500s series hakuna lumia 540,hzo n spec za lumia 640hebu angalia review zake kwanza, nina wasi wasi sana na hii simu sababu ina weak processor/gpu wakati huo huo ina kioo chenye resolution kubwa, hivyo huwenda ikawa slow kurun vitu vya hd kama magame na apps nyengine. kama unaweza ongeza hela kidogo lumia 640 au 640xl ni nzuri zaidi kwani zina processor yenye speed zaidi.
Kwenye 500s series hakuna lumia 540,hzo n spec za lumia 640
hebu angalia review zake kwanza, nina wasi wasi sana na hii simu sababu ina weak processor/gpu wakati huo huo ina kioo chenye resolution kubwa, hivyo huwenda ikawa slow kurun vitu vya hd kama magame na apps nyengine. kama unaweza ongeza hela kidogo lumia 640 au 640xl ni nzuri zaidi kwani zina processor yenye speed zaidi.
Mkuu kuna Nokia Lumia 800 ina window 7.X, inakubali kuweka pesa au kuuliza salio kwa (USSD) lkn ikija swala la mpesa, tigopesa n.k haikubali.
Umewahi kupata solution ya hili tatizo....
Kwenye 500s series hakuna lumia 540,hzo n spec za lumia 640
hebu angalia review zake kwanza, nina wasi wasi sana na hii simu sababu ina weak processor/gpu wakati huo huo ina kioo chenye resolution kubwa, hivyo huwenda ikawa slow kurun vitu vya hd kama magame na apps nyengine. kama unaweza ongeza hela kidogo lumia 640 au 640xl ni nzuri zaidi kwani zina processor yenye speed zaidi.
hebu angalia review zake kwanza, nina wasi wasi sana na hii simu sababu ina weak processor/gpu wakati huo huo ina kioo chenye resolution kubwa, hivyo huwenda ikawa slow kurun vitu vya hd kama magame na apps nyengine. kama unaweza ongeza hela kidogo lumia 640 au 640xl ni nzuri zaidi kwani zina processor yenye speed zaidi.
hebu angalia review zake kwanza, nina wasi wasi sana na hii simu sababu ina weak processor/gpu wakati huo huo ina kioo chenye resolution kubwa, hivyo huwenda ikawa slow kurun vitu vya hd kama magame na apps nyengine. kama unaweza ongeza hela kidogo lumia 640 au 640xl ni nzuri zaidi kwani zina processor yenye speed zaidi.
Chief, hivi ni window phone ipi ina ukubwa wa kuanzia inchi 5.5 na kuendelea wa kioo. Napendelea sim kubwa kubwa.
Hapa bongo zimeshafika? Ni bei gani?
zipo ila bei ndio around 500,000. though ilitakiwa iwe around 300,000 hadi 400,000
Naomba unisaidie simu gani nzuri ninayoweza pata kwa 300,000 ambayo ni 5inches... Thanks sana