Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba Wang mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae nishaurini nifanyeje
Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba Wang mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae nishaurini nifanyeje
Achana naye njoo kwangu pliz!sinywi pombe na nina bidii!Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba Wang mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae nishaurini nifanyeje
Nimemvumilia , ila sio ulevi tu, pia kutafuta kwake hataki kutafuta/ kujituma anasema changamoto za biashara nyingi Ila simuonei hata kidogo, nimeweka mtaji nimewambia atafute jambo LA kufaya tutasaidiana lakini sababu za kutofanya zimekuwa kibaokila mtu ana mapungufu yake.mvumilie msaidie kutafuta njia nzuri ya kuacha.ulevi ni ugonjwa..inawezekana pia asingekua mnywaji angekua kicheche akakuletea magonjwa..uvumilivu ukiisha njoo kwangu.natumia novida tu
pole sana.anachezea bahati.atakuja kujutaNimemvumilia , ila sio ulevi tu, pia kutafuta kwake hataki kutafuta/ kujituma anasema changamoto za biashara nyingi Ila simuonei hata kidogo, nimeweka mtaji nimewambia atafute jambo LA kufaya tutasaidiana lakini sababu za kutofanya zimekuwa kibao
Kaaaah kwel kwenye miti hakuna wajenzi wallah, Bahati iliyoje hiiNimemvumilia , ila sio ulevi tu, pia kutafuta kwake hataki kutafuta/ kujituma anasema changamoto za biashara nyingi Ila simuonei hata kidogo, nimeweka mtaji nimewambia atafute jambo LA kufaya tutasaidiana lakini sababu za kutofanya zimekuwa kibao
Ushaur mzuri sana, nakukubaligi sana Mshikaji wangundoa ni ya muhimu lakini pia angalia na type ya mtu. Sio ufurahie kuvaa shela kisha baada ya hapo uanze kujutia maisha yako yote. Kwa vile ww ndio unaishi nae na unamfaham vzr then waweza fanya maamuzi ya busara yatakayoufurahisha moyo wako.
Mmmhh....wifi inakuwaje tena? Juzi ulimponda kaka ana elimu ndogo (la7) wakati ni f6 leaver, leo umekuja na ulevi.... kesho utaibuka ana kibamia.Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba wangu mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae.
Nishaurini nifanyeje.
Uwoga katika kuwekeza pesa kwenye biashara fulani sio kwamba hajitumi au ni mvivu...ni tahadhari ya kuzuia kupata hasara...biashara nyingi hufa kutokana na kukurupuka...yawezekana anafanya utafiti wa taratibu na wachinichini ili kubaini ni biashara gani yenye uhakika ya kufanya.Nimemvumilia , ila sio ulevi tu, pia kutafuta kwake hataki kutafuta/ kujituma anasema changamoto za biashara nyingi Ila simuonei hata kidogo, nimeweka mtaji nimewambia atafute jambo LA kufaya tutasaidiana lakini sababu za kutofanya zimekuwa kibao
Sasa hzo hela za kulewea anapata wapi kama sio mtafutajiMimi mdada wa miaka 27, Mchumba wangu mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae.
Nishaurini nifanyeje.