Kwa hiyo mkuu usiwaze sana jua hapo hakuna fungu lako move on and let it go.
.
I appreciate your advice thanks sis!!!This is how we suppose to do,sio unaona kabisa huna chako unakuja kulia If,ujinga.
Lakini brother Huyo ni kama karma kuendana na hadithi ako. Usirudie Hiyo tabia basi,sorry tho najua umeumizwa. Polee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante jfHujui LA kufanya wakati umekuta washamjaza katumbo tulia hivo hvo itakua kanywa Pepsi ni gesi tu hiyo isikupe shida