Ushauri: mchumba wangu hata sielewi....

Huenda ni yako kuna jama moja mumarekani alirudi home kutoka vita vya Iraq baada ya miaka 5 akafurahi kumkuta mkewe ana mtoto wa miaka miwili. Nahajawi kuka nae kipindi hicho chote Tena alisema 'Am so happy to find my baby in good health' vitu vingene vya kupotezea maisha yayendelee.
 
Inawezekana alitoa sperm wakazitunza wakati anaondoka,sio bongo
 
Inawezekana alitoa sperm wakazitunza wakati anaondoka,sio bongo
Hahahha Hapana jam alijua wife kacheat ila kapotezea kwa vile alikua anampenda sana mkewe. Sio hapa bongo mtoto na mama wangeuawa alafu naye mweneyewe anywe sumu.
 
Ni kawaida mkuu,ukichelewa kujaza huwa wanajaza wengine!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
mwambie hivi:
Huyo aliyekujaza tumbo aendelee kukukojolea tu, kwanza mi nilikosea we siyo saizi yangu, natafuta Bikira, sitaki li changu doa!!

kisha anza kusoti 18+
 
Duuuuh


Hapo upambane kivyako hujazaliwa naye watoto kike wapo wengi
 
Ulikosea kwenda Dar, ungebaki mkoani usingekuja kulia humu ungeshajua cha kufanya

Ushauri

Achana naye mademu wako wengi sana ni wewe kujiopolea unayemtaka
 
Ebu ngoja kwanza msimu wa sikukuu uishe.. Merry Christmas mkuu
 
Kwani hujui hii ni sikukuu mkuu labda ameshiba pilauuu na Pepsi baridiii
 

Pasaka ya mwaka huu? Hii post umeikopi wapi?
 
Utani huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…