Ushauri: Mchepuko una mimba yangu

Kwanini haukuuambia ukweli kuwa haujamuacha mkeo
 

Figisu figisu ufanye mwenyewe, ushauri tutoe sie....
 
Fanya awe wa pili tu shida hakuna. Si usukumani tunaweka mpaka kumi na kuendelea. Na mbali na hali hiyo ya sasa huwezi sema unampenda mkeo na wakati ulikuwa unamsaliti. Kuww nwanaume kwakuweka kila kitu wazi kwa mkeo mwambie kwamba tamaa zako zilikuponza mpaka ukaanguka dhambini kwakuweka wazi jambo lako hili kwa mkeo atakusamehe tena bila masharti ingawaje vigezo ni lazima vizingatiwe
 
uandishi wako una hitaji muda mtu akuelewe
 
Duh ....ila statements naona c rafiki kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…