cheupe dawa
Senior Member
- Apr 3, 2016
- 172
- 131
pointsuala la michepuko ishakuwa kama fasheni hivi, badilikeni bhana kwann unailetea simanzi familia yako kwa kutaka mambo ya kuendana na wakati (kumbe ni ujinga mtupu), wewe unadhani nini hatma ya familia yako sasa, mkeo alikuwa anakuheshimu sasa atakuona u mnyama wa mwitu.....binafsi sina cha kukusaidia ila naomba wanaume tujifunze , unapoingia ktk ndoa maanisha hasa kwa kile unachoingia sio huku nje ndani, mkuu hapo huyo mchepuko ukimuacha si atakujia kwa vita hata vya kishirikina,tujiepusha na matatizo mengine mpaka sasa ushaleta tatizo ktk ndoa yako, wakwe zako watakudharau hata ukienda kuwasalimu watakuwa wanakunyooshea vidole hata heshima haitakuwepo tena
utaisoma namba mkuu!Naomba msaaada kwa hili.
Mimi nina mke wangu ambae yupo mbali alikuwa mama wa nyumbani nikamfanyia mpago wa chuo amesoma amefanikiwa kupata kazi mkoani mimi sasa wakati yuko chuo nilikuwa na mchepuko wangu si unajua huyu ulinipokea nilipopewa uhamisho toka Dar kwenda eneo jipya la kazi.
Mchepuko wangu ulijua mimi sina mke wakati family yangu ilikuwa Dar baada ya muda mke wangu alikuja kukaa na mimi mwaka 1, nikaona nimpeleke chuo hakuna aliyejua kwamba mke wangu yuko wapi maana alinichia mtoto mdogo, majirani wakaanza kusema nimemfukuza mke wangu wala sikujali hilo.
Sasa kipindi hicho yule mchepuko nilikuwa nimeachana nao sasa baada ya kusikia nimeachana na mke wangu ukarudi kwa kasi sana nami nikaendelea nao kumbe sikujua nafanya kosa ukaanza kusema nimuoe nikajitambulishe kwao mwanangu anafahamu?
Sasa mchepuko una mimba daah! Hili balaa na mke wangu anakuja mwezi ujao na mchepuko unalazimisha niende kwao na mke wangu napenda sana kutoa mimba haiwezekani ila mimi nimemwambia nipo tayari kutoa huduma zote nimnunulie kiwanja hataki anataka kuolewa tu hajui kama nipo na mke wangu.
Nifanyeje wandugu?
Naomba msaaada kwa hili.

Mwanaume wa Dar umekimbia panya road umekwenda kujilengesha kwa wanawake wa mkoani.....Naomba msaaada kwa hili.