Ushauri: Matisho ya mpenzi wangu

Si Ulimuhaidi Utakua Nae Milele Lakinu?? Hivi Nafsi Yako Haikusuti Hata Kidogo???
!!!
 
Kiapo ni hatari sana jamani. Nina ndugu yangu kiapo kinamtafuna coz akimwapia mwenza wake hatokaa amsaliti. Sasa yule mwenza wake kawa kiwembe hashikiki. Sasa yeye jufanya revenge hawez coz alishaapa. Haya ni majanga kwa kweli
 
Hicho ni kiapo cha damu, aliekuapiza anaweza kukitengua kwa kanuni ile ile....

Ila??? Kwanini unataka kumtosa?? ....that is not fair!!! Ulimpenda na mmekuwa pamoja kwa miaka mitano, It's long time!!!

Anaweza kuku-set free na ukajutia maishani....kama vipi tupia ndani maisha yenyewe ndo haya.

Kuna watu wanatafuta bahati hizo hawazipati!!!

Kila la Kheri. I'm out
 
Hizi kauli za umemchezea au umemtumia binti wa watu sizikubali...lile tendo ni ridhaa ya watu wawili na mnaposhiriki kila mtu anapoteza calories za kutosha tu...
Unachopaswa kufanya mzee ni toba mbele ya mungu wako coz mmefanya uzinzi kwa miaka 5..muombe mungu akuonyeshe aliye wa ubavu wako..
Ataumia sana huyo binti kwasasa ila atakuwa amekwepa longterm effects nyingi endapo utamuoa kwa huruma au fadhila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…