Ushauri: Matisho ya mpenzi wangu

Hongera kwa kufanya kazi tigo.
Kabla sijatiririka.....

Ulipombikiri huyo binti damu ilikuwa inamtiririka eeeh????
Pia alikuwa na nguvu na uwezo na guys za kuwekeana viapo?
 

Viapo huwa vinatenguliwa. Kama alivyosema hayo maneno ndivyo anavyotakiwa ayafute hayo maneno kwa mdomo wake. Akishindwa au akikataa nenda step nyingne kama ww ni mkristo tuna Damu nyingine ya kufuta hicho kiapo. Usioe kwa kuonea huruma sababu utatoka nje ya ndoa na unaidanganya nafs yako. Cwez kuku hukumu sababu kila binadamu ana makosa
 
Yamenifika hapaa . .ndo maana nmekuja kwenu wadau

Utafanya hivyo kws wangapi? Another 5 yrs then humpendi trna again n again. Mwisho wake itakuwaje? Ndio maana wakati mwingine naona km yote ni mianaume. Inafika mahali mnapoteza hadhi yenu kbs mnakuwa km mijitu inayopelekwa na kichwa kisicho na ubongo wala macho. Subiria kunyweshwa sasa c ulipakwa tu. Kichwa panzi hicho
 
Swali kwa akina dada humu.."Hivi huwa mna nguvu ya kuwapaka damu ya bikira jamaa zenu na kutoa viapo siku mnapobikiriwa"?
 
Mtose tu.....we tokalin mwanaume rijali ukawa na demu mmoja....hata nature inakataa ....we chukua mwingune na hakuna lolote
 
ulichoharibu ni kukubali izo mambo yaliyotoka visiwa vya lampedusa kupakwa tena usoni!!!!!!!!!! na kunenewa, though naona maneno yenyewe yalikuwa mepesi sana, kama hajakukosea na una unaamini juu ya hivyo viapo subiri ujira wako
 


nakushauri usimwache kabisa,
Ni kawaida sana, upendo unapoanza huanza kwa kasi, lakini kasi hupungua...........mwisho pia huanza tena kukua, na siku moja mtakuja kukuta mnafanana na hatimaye mnakuwa ndugu kabisa. Kwa hiyo usimwache, nakuhakikishia huyo kama umekuwa naye 5years, kuwa naye mkuu. Sisi wengine tunatamani hata wa kuwa nao miezi 6 tuweke ndani, usimwache narudia tena Mkuu.
 
Sikulaumu hata mm inanitokea nimekuwa nae kwa starehe lakini kaniganda huyoo balaa.mpaka anataka nimpe mimba,tatizo hayupo kwenye plan,na kiapo tulichokula kwamba endapo nitalala na mwanamke mwingine nigandiane nae sehemu za siri mpaka aje anichape bakora 10,000
 

Hahahahaa hii kali kweli ID yako na ulichoandika vinafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…