nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Mbunge wako ni nani.......?.......
Five good years leo huna mapenzi nae na majanga yakukute tu
Mm binafsi ni muoga oga. ..hivyo kama naamini flani iviHa ha ha ha
Wewe unamini nini mkuu?
Kama unamini kwenye hivo viapo ni wazi utapatwa na misuko suko ila kama haumini hizo imani basi utaishi pouwaa tu
Lakin kiapo cha damu mhhh ngoja aje mkuu Mshana Jr
umesema umekuwa ukizawadiwa tigo za bure na wafanyakazi wenzio au nimeelewa vibaya.
Hahshaaa huyu atakuwa team leader tuu wa ma freelancer wa Tigo mtama/LindiNape nauye
Umezoea kuharibu mabinti wa wwnzako sasa hpo umejifunga kamba
Kumtoa usichana wake unamaanisha umemtoa bikira....??