USHAURI MADAKTARI/wadada

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Wanajamvi habari za week end....hope tuko pamoja.kazi ndo utu na Overtime ndo mtindo mmoja.

kuna rafiki yangu tunafanya nae kazini,yamemtokea,alijifanya mjanja sana kuwa hachuniki kwa wadada,

jamaa alikuwa kwenya kipindi cha mpito wa kimapenzi,alitoka kuachana na ex girl friend kama mwaka hivi akawa haitaji tena kuwa na girl.
Ikatokea siku jamaa akazama kwa mdada wa mujini bila kujielewa,jamaa akawa haeleweki kwa mdada licha ya kuwa kwenye mahusiano,coz jamaa alikuwa kama vile yule mzimu wa kuachana na yule ex gf upo,siku moja binti akawa anajiachia kwa jamaa sana,siku ya siku,binti kamwambia ana ujauzito wake,jamaa hakuamini hata kidogo,kwenda kupima kakuta kweli,na Dr.akamwambia autunze sana ule ujauzito kwa mkazo tuuu.Baada ya hapo jamaa ilibidi awe anatoa matunzo sana kwa ajili ya ujauzito ule,baada ya miezi 6 jamaa akaja kuambiwa na wanoko binti hana cha ujauzito wala nini,jamaa kumuuliza binti,binti akamwambia iliharibika,jamaa akawa anajiuliza mbona walienda kupima akaambiwa ana ujauzito?,binti aliambiwa alete mk...jo wakaweka dk 3 tu kikatoa majibu,so kilileta majibu binti ana ujauzito wake,maswali anayojiuliza anaomba msaada....
1.je kile kipimo ule mk...jo ni lazima uwe wa kwanza asubuhi au wowote tu?,coz alifatilia mwenyewe na kumpa nurse kipimo.ilikuwa mchana siku hiyo.
2.binti alishakwenda hapo hospitali kupanga dili hilo?kumbuka ni binti aliechagua waende hospitali hiyo.
 
Reactions: RR
Hio mimba ina baba zaidi ya 1 ndio huyo binti anataka kumpiga kibuti mtoto kashapandikiziwa baba mwengine na urene unapima ya muda wowote sio lazima wa asubuhi
 
Kusingizia mimba......utakua usanii wa aina yake! Labda aliitoa kimyakimya asee
 
Huyo nae chizi? Kuutuza ujauzito alikuwa anatumia mpesa ama? Mimba ya miezi hadi sita isiyoonekana? Ana umri gani huyo rafiki yako kiazi cherema?
 
Kama ni famba basi jamaa ni famba, mimba ya almost six month halafu usiione, au utasema ni kipofu. Acheni kutuletea story za mirungi.
 
nonsense ,anataka kujua ili iweje?
yeye ameshadanganywa ,ameshaingizwa mjini ............ akae mbali na huyo dada ,ni sumu kwa ustawi wa maendeleo yake.

n:b; mkojo ni wa muda wowote hufanyiwa kipimo cha ujauzito......na akigundua binti alianda mchongo huko hospitali itasaidia nini?
 
hizi story nyingine bwana pumba tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…