Ushauri kwa Watanganyika

Ushauri kwa Watanganyika

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
Hotuba ya Rais Kikwete imetuzidisha hamasa na ari Wazanzibari kuzidi kudai nchi yetu. Mkutano
mkuu uliotangazwa na CUF hapo tarehe 26 ni moja ya mikakati ya kuelekea Zanzibar free. Kwa hiyo wenzetu Watanganyika tuungeni mkono kwenye madai yetu na tukifanikiwa sisi na Tanganyika yenu itarudi automatically. Zanzibar Kwanza.
 
Kweli mzenjiboy tuwaache mpumuwe. Vua koti!
 
Last edited by a moderator:
Tanganyika kwanza pia

Tupo pamoja mkuu!!
 
Ni kweli yanawezekana kama zanzibar itakataa kuburuzwa. Kwa aina hii ya kuungana na usiyemwona ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Ukataeni usanii tena kwa ari moja ili yule mliyeungana nae ajifichue vinginevyo mtajikuta mkitambulika kama mkoa katika jmt.
 
Hotuba ya Rais Kikwete imetuzidisha hamasa na ari Wazanzibari kuzidi kudai nchi yetu. Mkutano
mkuu uliotangazwa na CUF hapo tarehe 26 ni moja ya mikakati ya kuelekea Zanzibar free. Kwa hiyo wenzetu Watanganyika tuungeni mkono kwenye madai yetu na tukifanikiwa sisi na Tanganyika yenu itarudi automatically. Zanzibar Kwanza.

Msijali mtapiga kura na mtaamua.
Halafu tena mtapiga Kura ya Pemba Huru na Unguja huru
 
Msijali mtapiga kura na mtaamua.
Halafu tena mtapiga Kura ya Pemba Huru na Unguja huru

kuna ubaya gani katika hilo? Hata wangepiga kura ya kujitenga kijiji na kijiji ni sawa tu kama inawapendeza na kuwapa amani. Hivi wengine humu bado mpo kuwasadikisha watu habari za machafuko ya kusadikika? Watu wa propaganda bwana! Zilipita zikaenda na churchil wewe!
 
tetetetetetetetetetetetete............no comment, tetetetetetetetete, maana nimesikiliza hotuba ya mzee wetu warioba na mh. JK bado sina jibu kwa sasa, tetetetetetete.
 
Msijali mtapiga kura na mtaamua.
Halafu tena mtapiga Kura ya Pemba Huru na Unguja huru

Zanzibar kuna Pemba na Unguja tu, tena huu UPEMBA NA UUNGUJA umeanzishwa
na Nyerere ALAIH LAANATULLAH kwa maslah yake binafsi kabla ya hapwn
havikuwepo asa na tukiamua kuviondosha ni mara 1 kama tulivofanya 2010, sasa ishu nyiny mulio na makabila zaid ya 120 na nakila moja lina sifa yake wale wa bukob sifa, wachaga wizi ilimradi mutajuana.
 
Pigeni kura mtuachie zogo.
Mmekalia Siasa tu,hembu fanyeni kazi mpate pesa sio upuuzi huu.

We mwenye akili Timamu hasa anasema eti Nyerere ndio kaanzisha Uunguja na Upemba,si wazim huu?

Makabila ya Tanzania yana Historia ndefu ambayo wewe huisomi badala yake utasoma habari ya Masultani tu,
Ambapo Baadhi ya Ukoo wa kisultani kama kina Bikhole walikuwa mashoga.Na wengine kuoa wake Telee na Mfano ni Barghash ambae alijenga Maruhubi Palace na kuweka mkewe na Machangudoa 100.
Na Mtoto wa Sultan Princess Salme nae aliolewa na Mkristo tena Mjerumani anaitwa Wilhelm,Kama hujui basi jengo lake lipo pale karibu na PBZ,upande wa kulia wa Old Fort.
Sasa nyie kizazi cha kufuata mkumbo mliokata Tamaa ya maisha,ndio mnaibuka eti kila kitu kibaya kwenu kimeanzishwa na Nyerere au wabara.Na kuna mmoja jana aliibuka eti Zanzibar asilimia mia ni waislam.Sasa Huyo binti yenu alieuchezea wa Mjerumani ilikuwaje.Na Ustadh Sultan Barghash iweje afuge machangudoa mia,sijui kama 0713 ilikuwa haitembei.
Na wapo wengi sana.
Acheni uvivu wa kufikiri,mtahisi mnaonewa hadi mnaingia kaburini.Maana imekuwa kama Hulka vile.
Fanya kazi tafuta pesa,achana na wanasiasa,utapoteza muda wako wa ujana Bure
 
Kama umezali kabla ya uhuru au miaka 3 baada ya uhuru wewe unaijua tanganyika ila mimi najijua ni mtanzania na hizo habari zenu za utanganyika sizijui.
 
Tukipata akina Zanzibar spices watano na Turufuu watano nazani kesho mbali Tanganyika inafufuka.

Njia rahs ya kuipata tanganyka ytu ni kuwaunga mkono wazanzbr waipate zanzbar yao autmatical mambo yatajiweka sawa, muhmu tuhakkishe waznji wanapata kila wanachotaka mwsho wa siku ving'ang'aniz wataelewa kuwa muungano haupo toka 2010
 
Pemba na Unguja tu, kwa binafsi kabla
havikuwepo asa na tukiamua kuviondosha ni mara 1 kama tulivofanya 2010, Ukiwa ndani ya muungano ni wamoja bila muungano lazima kinuke.Hatahivyo watanganyika hatutaki tena muumgano waklazimishana
 
Back
Top Bottom