Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,098
- 4,831
Word.Mhh mi naona hata kukomoana nako ni kwingi maana kutojua kuandika CV kunategemea yaweza kuwa kafundishwa hivi we unataka aandike kama unavojua, pia wasaili wengi wanatumia uhaba wa ajira kama fimbo ya kuwachapia watafuta kazi na kuonekana kama ni watu wasiojielewa, mi nilienda ofisi fulani HR aliyepewa kukaimu ni O level alivoiona CV yangu hakutaka hata kufanya usaili akaomba samahani naomba uendelee na shughuli zako hata hakusoma kilichomo