Ushauri kwa wataalam wanataka ajira za jwtz

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
174
Wataalam wote ambao wengi ni graduates wa vyuo vikuu ukitaka nafasi za JW bora uanzie JKT ambapo kila mwaka JKT huchukua kuruta kati ya mwezi januari na feb,tofauti na kukaa na kusubiria ajira za "wataalam"JW kwa sasa watalaam wengi wanaanzia JKT wapo graduate wapo JKT sasa na baadaye wataendelea na JW.
Kila la heri vijana wenzangu mwakani mkajiunge jkt mapema na MUNGU awaongoze,
 
unawaambia watu wapiti JKT unajua muda wa kulitumikia JKT mpaka uje kuchaguliwa kuingia JWTZ? watu wanakimbia uko kwa sababu ya muda wa kukaa JKT mpaka kuingia JWTZ TENA NI POSSIBILTY kuingia au usiingie. JKT ni kituo cha ajira kijana.
 
Tatizo lenu vijana mnapenda njia fupi sana katika maisha na ck zote madhara yake ni makubwa kiongozi...nilichokizungumza hapo nakijua vzr yawezekana ikawa nakijua zaid yk....in short it takes up to 2yrs saving as a service man or woman in JKT...na unaweza ukabahatika baada tu ya kuapishwa kumaliza mafunzo yako ya jkt ndani ya mwezi au miwili ukifanya vzr usahili wanakuchukua yawezekana ikawa usalama wa taifa,police,magereza au jwtz....kwa ufupi sana iko hivyo mkuu....so kama kweli unataka kujoin fan pitia JKT maana idara zote hz kwa sasa zinaajiri kupitia jkt...look here kuanzia tarehe 28 mwezi huu kutakuwa na usahili wa jwtz takribani kambi zote za jkt kwa vijana waliomaliza majuzi mafunzo yap ya jkt ma kwa m service men and women walioko makambini...ni hayo tu ndugu karibu sana.
 
mkuu,umewafungua kimtizamo kwa sasa JKT kweli ndio njia
 
''na
unaweza ukabahatika
baada tu ya kuapishwa
kumaliza mafunzo yako
ya jkt ndani ya mwezi au
miwili ukifanya vzr usahili
wanakuchukua''

Swali langu ni kwamba hayo mafunzo yanachukua miezi mingapi!?
 
unawaambia watu wapiti JKT unajua muda wa kulitumikia JKT mpaka uje kuchaguliwa kuingia JWTZ? watu wanakimbia uko kwa sababu ya muda wa kukaa JKT mpaka kuingia JWTZ TENA NI POSSIBILTY kuingia au usiingie. JKT ni kituo cha ajira kijana.

sio kuwa wanakaa muda mrefu huyo aliekimbia anasema hivyo kupata excuse tu, utaratibu ni kuwa utafanya training ya jkt recruit kwa miezi sita baada ya hapo utapewa kituo kufanya kazi ukiwa kama askari wa jkt kusubiria ajira itakayotokea kama polisi, magereza, takukuru, askari wa tanapa na hata usalama pia jwtz kulingana na mahitaji ya ajira kwa kipindi hicho ila kiukweli baada ya mafunzo ya awali nuwezi maliza mwaka ukiwa upo upo tu lazima kati ya hayo majeshi waajiri na nyie ndo mnakuwa first priority labda uwe unfit or vyeti haviruhusu au unachaguo lako maalum
 
''na
unaweza ukabahatika
baada tu ya kuapishwa
kumaliza mafunzo yako
ya jkt ndani ya mwezi au
miwili ukifanya vzr usahili
wanakuchukua''

Swali langu ni kwamba hayo mafunzo yanachukua miezi mingapi!?

miezi sita kamili au wiki 24
 
Asante mkuuu nimekuelewa vizuri sana,nieleweshe kuusu umrije?
 
''na
unaweza ukabahatika
baada tu ya kuapishwa
kumaliza mafunzo yako
ya jkt ndani ya mwezi au
miwili ukifanya vzr usahili
wanakuchu
Swali langu ni kwamba hayo mafunzo yanachukua miezi mingapi!?

mafunzo ya jkt ni miezi 6, ukipangiwa kituo utakuwa unalipwa posho elfu hamsini mpaka utakapo pata ajira jwtz au sehemu nyingine yoyote, but unatakiwa kuwa mvumilivu, na hiki ndicho kinachowashinda wengi, kukaa miaka 2 mpaka upate JWTZ
 
Asante mkuuu nimekuelewa vizuri sana,nieleweshe kuusu umrije?

cjui kuhusu wataalam ila kwa wanaojitolea anzia 18 hadi 23 na mtaalam pia wanaangaliia lini umemaliza A lev na ulisomea nn na kwa mda gani ila hicho hufanyika wakati wa ajira.
 
Back
Top Bottom