Uko na jicho la mbali sanaPole sana kwa yaliyokukuta...
Ila jibu ni hili hapa, ndege wafananao..
"Pamoja na yote kuolewa ndo utaolewa ila Mungu lazima atakupa mwanaume wa kuendana na ww mwanaume ambaye nae atakuwa alishafanya matukio ya ajabu na yasiyo simulika siku zake za nyuma
Na huyo ndo atakuwa mume wako."
Cc: mahondaw
Hahaaaa. Basi sio kuchunwa huko Mkuu.Sasa usipotoa we unafikili hatima yake ni Nini?
Pole sana kwa yaliyokukuta...
Ila jibu ni hili hapa, ndege wafananao..
"Pamoja na yote kuolewa ndo utaolewa ila Mungu lazima atakupa mwanaume wa kuendana na ww mwanaume ambaye nae atakuwa alishafanya matukio ya ajabu na yasiyo simulika siku zake za nyuma
Na huyo ndo atakuwa mume wako."
Cc: mahondaw
Kuna point yoyote iliyogonga ikulu kwako best!? Hebu ninong'oneze tu sitawaambia watu, tehUjumbe mzuri ila una maneno huo ambapo nionavyo tutakuelewa wachache.