Unashauri wezi, washirikina wanaoamini nguvu za Giza, chuki wivu nk, hiyo wasafi festival ipo wapi, wanasubilia fiesta watangaze nao ndio waanze si ujinga huo,
Hii tz kubwa Fanya biashara achia wenzako wafanye biashara,
Unajua mungu mtu wa ajabu sana huwezi shindana na mzazi wako hata kama alikufanyia mambo ya ajabu haina budi uheshimu sasa WCB wanachotaka kwa Clouds media watakipata cause Clouds media ni kama baba yao