Kwahiyo changamoto yako kubwa ni kwamba atakuwa mwenye mahela yake akunyang'anye Demu ?mwanaume usijikite sana kwenye mapenzi,saka hela kwanza na kujiekeza.Usipoteze mud mwingi kutafuta mapenz utaumia,kutakuja aliye na uwezo kuliko na ata kunyang`anya demu
So mkuu unahitaji kuniambia hapa dar kuna madem tu huwezi kupata mke ???Huyo n kikwazo kabisa na ashindwe,atafute mkewe kwan madem hapa dar c wamejaa kibao
Mtoa madaa kaangaliaa hii coment yako akakimbia speed kama swala aliyejeruhiwa..Kwahiyo changamoto yako kubwa ni kwamba atakuwa mwenye mahela yake akunyang'anye Demu ?
Kamaa ni hivyo waje wananyang'anye hadi mke demu kitu gani kwenye ulimwengu huu?
Juzi kuna uzi humu mchezaji wa mpira sijui wapi huko kamfuma mke wake
Huyo jamaa anampa ma milioni10 kw wiki kama pocket money
Kamjengea nyumba
Anagari kali na bado kamfuma
Unasemaje kwa hilo? Tuseme amen au Ashindwe?
π€£π€£ Nilijua tu vurugu zitaanzia ukanda huu especially kwako.. akili Ako binafsi haitoshi pokea shauri mbali mbali π€£π€£π€£Ushauri zimekuwa nyingi sana nowadays ahh Kila mtu awe na akili zake bhana
Mpaka sasa nmepokea ushauri milioni, 90% n keleleπ€£π€£ Nilijua tu vurugu zitaanzia ukanda huu especially kwako.. akili Ako binafsi haitoshi pokea shauri mbali mbali π€£π€£π€£
Inakuaje kwani kila ushauri un asoma/unapokea. π€£π€£Mpaka sasa nmepokea ushauri milioni, 90% n kelele
Ndo mana nikasema kila mtu atumie akili yake, ushauri za sasa hv zimejaa keleleInakuaje kwani kila ushauri un asoma/unapokea. π€£π€£
Mambo ya ajabu πData gani zinaonyesha kuwa wanaume wanaendekeza starehe kuliko kutafuta pesa?
Hizo pesa wanazotumia kustarehe zinatoka wapi kama hawatafuti?
π si ndiyo, hela za ugimbi tunatoa wapi sasa kama hatutafuti.Mambo ya ajabu π