Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Hua inakera sana kuona kwamba kero za mwanaume zinageuzwa kuwa mtaji kwa tapeli, wengi sana tumeona kwemye mistim ya umeme hawa matapeli wamebandika matangazo ya dawa za mapenzi. Sasa ole wako ujiroge uwapigie simu utalizwa tu.
Guys hapa nadhani wengi tayari ni watu wazima, yale mambo ya wasichana kuwashobokea boys handsome, wenye miandiko mizuri, wasafi yameshapita, So wewe kama utaendelea ubishoo, kuchomekea shati, kupiga miwani mikubwa na kuweka toothpick kila saa mdomoni kaa ukijua hizo njia ni za shuleni enzi hizo, dawa ya penzi ni pesa tu, kuwa smart, mcha Mungu, mcheshi ni vya ziada tu vitavyofanya penzi linoge zaidi but pesa ndo mzizi wa mapenzi, nadhani mnajua hata vyuoni wasichana wa washkaji wanaliwa sana na wenye pesa zao maana mamen wa hawa wasichana ndo kwanza wanategemea mikopo.
Huwa nawaonea sana huruma wanaume wasio na kipato cha kueleweka wakiwamendea watoto wakali kwa lengo la kutafuta penzi, Guys kama huna hela na unatafuta kisu na wewe hakikisha una kisu mana waweza jutia mbeleni, Just imagine mama yake huyo msichana ana shida ya laki, msichana kakuomba wewe huna, What do u expect hapo huyo akiaga anaenda kusuka au sokoni siku yoyote ujue ashapata dume litalompa hio hela kwa makubaliano ya mgegedo.
Wanawake ni viumbe wanaojali sana watoto, wazazi, ndugu, familia, n.k. Wao wakiona yote kwa yote njia za kupata kitu wanachohitaji watu zimekwisha basi wengi wao huwa hawaoni tabu kutumia silaha yao kupata wanachohitaji walengwa anaowajali. Sasa wewe una kisu kikali ndani ila wewe butu mfukoni, ndugu yangu hapo ukiombwa laki 3 mtoto wa watu awatumie wazazi na ukamwambia huna na mwezi ushakata unakenua meno unashukuru hajakumbushia ujue tayari mnashea papuchi na njemba nyingine mwenzio akitoka tu lazima atongozwe na mapedeshee wasiopungua 5 kwa siku kuna usalama hapo.