Ushauri: Kwa wanaotaka nunua smartphones.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,273
Reaction score
89,343
Habari.
Leo nimependa kushare na nyinyi baadhi ya vitu ambavyo mnunua simu (Especially Smartphones) ni vema akivizingatia ili asijutie maamuzi baadae. Nisipoteze muda, ebu tuanze.

1. Kwanza kabisa, usipagawe na majina makubwa kama Apple, Samsung, Nokia wala Tecno. Ni vema uukijiuliza kwanza vitu hivi:
  • Unataka simu utumie kwanini hasahasa? Kuingia sana Social Networks? Kupiga sana pictures? Kuwasiliana kwa SMS na Calls sana? Kubrowse sana Mtandaoni? Kudownload sana nyimbo, files etc? Au kutumia sana shughuli za kofisi kama kutuma na kupokea mafiles, etc? Ukisha jua tumizi lako kuu, ndio itakua rahisi kujua ni simu gani inaweza kuimili hivyo vishindo? Kusema kweli, hakuna simu ambayo inaweza kutimiza matakwa yako yote, ila zipo ambazo zinacover mengi zaidi ya mwezie.

  • Umetenga Bei gani kutumia ili ununue simu? Utanunua mpya dukani au utanunua used? Wengi tunapenda vitu vikubwa na vizuri kwa bei ndogo (na ndio maana mchina alipogundua udhaifu huu, ameanza kutuletea vitu vyenye mambo mengi kwa bei ndogo, ingawa si bora), hivyo tunapenda kununua used. Kabla hujanunua simu used/brand, ebu peruzi Google ujue bei yake uko Ulay. Kadiria kwa kuongeza kama 15% hivi ujue Tanzania itakua Tsh ngapi? najua hutatoka sana katika Range.

  • Kwanini unabadili simu? Hiyo unayoitumia sasa hivi imeshindwa nini/hujapenda nini hadi umefikiria kubadili? Charge? Iko slow? Network matatizo? Sio imara? etc, Sorry kama uliibiwa, hapa haitakua applicable. Au unataka tu kuonja radha nyingine? ONYO: Usibadili simu kisa umeona fulani na fulani wanazitumia simu flani na wewe umeamua kuiga. Kila mtu anajua mateso ambayo simu yake inampa.

2. Baada ya kujua matumizi yako na bei uliopanga kununua na reasons behind hadi ukaamua kubadili simu, lazima ujue ni Operating System gani unavutiwa nayo. Hapa unaweza kujaribu kugoogle sehemu tofauti ujue ipi itakidhi matakwa yako, pia unaweza kutumia experience kwa uliko wahi pitia. Hadi sasa famous OS ni Android, iOS, Windows Mobile, Black Berry na Symbian.

Kila OS inaupekee wake. Nyingine zina Applications nyingi, tena za bure (Mfano Android), ingawa sio kwamba uwingi huo utakufanya uzitumie zote, hapana. Kuna nyingine zitategemeana na uwezo wa simu yako. Pia kuna OS nyingine zipo ki-professional sana, nyingine ki-social/entatainment sana, nyingine ki-office sana etc.

Ni vema sana kujifunza kidogo about hizi OS kabla hujachoose utakayo ipenda. Unaweza omba ushauri pia kwa wana jamvi humu.

3. Hapa tuje katika specifications za muhimu sasa.

  • Sifa za jumla, 4G, 3G au only EDGE connections inakutosha? Hivi navyo ni vya muhimu, na najua wengi wataapenda 4G (ingawa sina uhakika kama mitandao yetu inatoa huduma hii ya 4G LTE). Pia simu ni line 1 au mbili? Micro simcard, nano simcard au nini? (Nayo pia haina madhara sana, maana hizi line za kuchonga sasa imekua ni kawaida tu)
  • Screen size and Quality: Usipagawe tu na kuambiwa simu hii ina screen ya inch 6 (6"). Angalia pia vitu kama aina ya kioo (TFT-LCD, AMOLEDs, Retina Display, Super LCD,BRAVIA, NOVA etc) pamoja na screen resolutions na pixel density ni muhimu maana vinachangia sana katika ubora wa picha/maandishi vitakavyokua displayed. Kuna vitu vya ziada/uwezo wa ziada kama scratch resistant, gorilla glass etc hivi navyo ni muhimu maana vinaongeza durability ya kioo, hasa pale kwenye ajali za kudondosha au kugongesha somewhere.
  • RAM and Internal storage: Hapa kwenye RAM, hatuna ujanja. RAM kubwa always ina matter. Kwa tulipo sasa, 512MB kwa watumiaji wa kawaida ni fresh, ingawa kwa wale high end users kama chief-mkwawa na wengine, muhimu 1GB na kuendelea. Pia ni muhimu to pick high internal storage, kuanzia 1GB kuendelea. Madhara ya kuchagua internal memory ndogo, yanaonekanaga pindi utakapo install apps nyingi, utaishia kupata ujumbe wa Low Memory. Pia simu inakua nzito na ina load taratibu sana apps. Inaboa sana hii. Ukiona internal memory imeandikwa katika specification ya simu, angalia pia na Available memory. Sometimes unakuta simu imeandika internal storage ya 4GB hafu unayoweza kutumia (User Memory/available memory) ni only 1GB. Kua makini kidogo. Pia katika case ya memory, usisahau kucheki kama kuna uwezekano wa kuweka memory card au haupo. Hapo ni maamuzi yako tu.
  • Processor: Hii ndio ina determine how fast your phone itakua iki process vitu. Ni muhimu sana ikiwa kubwa kubwa. Sio mbaya kuanzia 1Ghz. Pia kuna vitu kama aina za processor (Mfano: Kuna Mtaalamu ataelezea hapa), pia is it single core, dual core, octacore or? Ni muhimu pia.
  • Battery: Hapa wewe tu. Je, unakaa mbali sana na umeme muda mwingine? Ni aibu kutopatikana kisa eti simu iliisha charge. So, angalia specification za battery, ambapo utaona unit za mAh (mili-Amperes per hour). Ikiwa kubwaa na ndio inakaa sana na charge. Kwa kuanzia na 1500mAh sio mbaya. Nadhani ukiwa na battery hii hafu wewe ni mtumiaji sana wa internet (3G), kila baada ya masaa 5, tafuta socket. BTW, smartphones zoote swala la battery tuwasamehe tu. Kukuta machine inakaa na charge masaa 24 in use, ni adimu sana. Pia kuna baadhi ya simu attery zake haziwezi kutolewa kirahisi rahisi kama tulivyo zoea (non-removable battery, mfano iPhones zote). Ili nalo linaweza kua la muhimu. Kuna watu wanafanya kazi ktk mazingira ambayo wanaweza kukaa mbali na umeme zaidi ya siku 2, so wanakua na battery mbili au tatu, wanazicharge then zinakua za backup. Mbadala, kuna Power banks, kanakua kama ka bettery unakacharge kakiwa full, baadae kataipunguzia simu yako charge. Sijui kama nimeeleweka.
  • Camera: Wale wa kutunza kumbukumbu na kujianika instagram, facebook inawahusu. Kwanza angalia ukubwa wa MegaPixels. Hapa ukianzia 5MP ni safi, ingawa ata 3MP iko poa. Unaweza enda hadi 20MP na 41MP kama unapenda sana camera phone. Cheki Sifa za ziada za camera kama OIS-Optical Image Stabilization, Flash, Geo taging, Face/Smile detections etc kama utakua interested. Kama unapenda second camera (front camera) nayo consider. Hii ya mbele inakuaga ndogo, sana sana max 2MP.

Kuna vitu vya ziada kama Multitouch, Bluetooth/Infrared, java, browser, colour, FM radio, torch, etc ambavyo unaweza pia vizingatia, ila sijavipa sana uzito.

Mi nadhani kwa vitu vya muhimu sana nimeishia hapo. Mtu yoyote anaweza kuongeza au kupunguza kitu. Sijarecomend mtu anunue simu fulani, ila ni specs tu ndio nimejaribu zitaja.

Thank you.:usa:
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, ubarikiwe kwa hekima zako. Asilimia kubwa ya watu tunanunua simu kufata mkumbo, aliyonayo flani lazima na wewe uwe nayo. Usishangae mtu ana Smart phone ukakuta amekariri pa kupokelea, kupigia na kuzimia. Akienda mbali zaidi kapewa darasa la kuingia whatsaap na Fb ,kwishney.
Tunakoelekea itarulazimu tuwe na madarasa ya hizi simu Kama ilivyo Computer courses..vinginevyo kazi ipo. Nukta
 
Last edited by a moderator:
........Asilimia kubwa ya watu tunanunua simu kufata mkumbo, aliyonayo flani lazima na wewe uwe nayo. Usishangae mtu ana Smart phone ukakuta amekariri pa kupokelea, kupigia na kuzimia. Akienda mbali zaidi kapewa darasa la kuingia whatsaap na Fb ,kwishney.
.............
Kama huyu.
 
Last edited by a moderator:
post safi sana hii mkuu. maana hapa hata kuna baadhi ya rafiki zangu hope na humu Jf wapo, kazi yao kubwa ni kununua majina ya simu.
yupo mmoja alikuwa ananicheka na Tecno P5 yeye akiwa na Nokia Asha 201, juzi kaenda kununua Samsung Galaxy Y pro duo. haina kitu yaani hata awe chini ya mnara wa 3G haiplay you tube, ku-upload pictures whatsapp na facebook nako ni mtihani.
somo limeeleweka kwa kweli na pia wengine hawana budi kujifunza kutoka hapa
 
Kama huyu.

dah!!!

yani mtu anasubiria kwa hamu kubwa kitu asichokijua wala kukisikia kabla!

eeeerh, just texting my friends, calling, it has a wide screen, and ofcourse its eeer a touch screen! duh!! amenifunza kitu huyu!
 
Last edited by a moderator:
pongezi mwl,wengi wetu tukifika pale msimbazi tunatembea ktk maduka yote ya simu na wenye maduka wameweka simu zao ktk vioo vya aluminium.unachaguaaaaa kila simu unaiona nzuri,mwisho unanunua uliyoipenda zaidi.ukifika nyumbani unaanza kujifunza pa kupigia simu na kupokea.wengi hawajui hata internet ni nini.naomba tuzingatie maelezo ya mwl
 
Habari.
Leo nimependa kushare na nyinyi baadhi ya vitu ambavyo mnunua simu (Especially Smartphones) ni vema akivizingatia ili asijutie maamuzi baadae. Nisipoteze muda, ebu tuanze.

1. Kwanza kabisa, usipagawe na majina makubwa kama Apple, Samsung, Nokia wala Tecno. Ni vema uukijiuliza kwanza vitu hivi:
  • Unataka simu utumie kwanini hasahasa? Kuingia sana Social Networks? Kupiga sana pictures? Kuwasiliana kwa SMS na Calls sana? Kubrowse sana Mtandaoni? Kudownload sana nyimbo, files etc? Au kutumia sana shughuli za kofisi kama kutuma na kupokea mafiles, etc? Ukisha jua tumizi lako kuu, ndio itakua rahisi kujua ni simu gani inaweza kuimili hivyo vishindo? Kusema kweli, hakuna simu ambayo inaweza kutimiza matakwa yako yote, ila zipo ambazo zinacover mengi zaidi ya mwezie.

  • Umetenga Bei gani kutumia ili ununue simu? Utanunua mpya dukani au utanunua used? Wengi tunapenda vitu vikubwa na vizuri kwa bei ndogo (na ndio maana mchina alipogundua udhaifu huu, ameanza kutuletea vitu vyenye mambo mengi kwa bei ndogo, ingawa si bora), hivyo tunapenda kununua used. Kabla hujanunua simu used/brand, ebu peruzi Google ujue bei yake uko Ulay. Kadiria kwa kuongeza kama 15% hivi ujue Tanzania itakua Tsh ngapi? najua hutatoka sana katika Range.

  • Kwanini unabadili simu? Hiyo unayoitumia sasa hivi imeshindwa nini/hujapenda nini hadi umefikiria kubadili? Charge? Iko slow? Network matatizo? Sio imara? etc, Sorry kama uliibiwa, hapa haitakua applicable. Au unataka tu kuonja radha nyingine? ONYO: Usibadili simu kisa umeona fulani na fulani wanazitumia simu flani na wewe umeamua kuiga. Kila mtu anajua mateso ambayo simu yake inampa.

2. Baada ya kujua matumizi yako na bei uliopanga kununua na reasons behind hadi ukaamua kubadili simu, lazima ujue ni Operating System gani unavutiwa nayo. Hapa unaweza kujaribu kugoogle sehemu tofauti ujue ipi itakidhi matakwa yako, pia unaweza kutumia experience kwa uliko wahi pitia. Hadi sasa famous OS ni Android, iOS, Windows Mobile, Black Berry na Symbian.

Kila OS inaupekee wake. Nyingine zina Applications nyingi, tena za bure (Mfano Android), ingawa sio kwamba uwingi huo utakufanya uzitumie zote, hapana. Kuna nyingine zitategemeana na uwezo wa simu yako. Pia kuna OS nyingine zipo ki-professional sana, nyingine ki-social/entatainment sana, nyingine ki-office sana etc.

Ni vema sana kujifunza kidogo about hizi OS kabla hujachoose utakayo ipenda. Unaweza omba ushauri pia kwa wana jamvi humu.

3. Hapa tuje katika specifications za muhimu sasa.

  • Sifa za jumla, 4G, 3G au only EDGE connections inakutosha? Hivi navyo ni vya muhimu, na najua wengi wataapenda 4G (ingawa sina uhakika kama mitandao yetu inatoa huduma hii ya 4G LTE). Pia simu ni line 1 au mbili? Micro simcard, nano simcard au nini? (Nayo pia haina madhara sana, maana hizi line za kuchonga sasa imekua ni kawaida tu)
  • Screen size and Quality: Usipagawe tu na kuambiwa simu hii ina screen ya inch 6 (6"). Angalia pia vitu kama aina ya kioo (TFT-LCD, AMOLEDs, Retina Display, Super LCD,BRAVIA, NOVA etc) pamoja na screen resolutions na pixel density ni muhimu maana vinachangia sana katika ubora wa picha/maandishi vitakavyokua displayed. Kuna vitu vya ziada/uwezo wa ziada kama scratch resistant, gorilla glass etc hivi navyo ni muhimu maana vinaongeza durability ya kioo, hasa pale kwenye ajali za kudondosha au kugongesha somewhere.
  • RAM and Internal storage: Hapa kwenye RAM, hatuna ujanja. RAM kubwa always ina matter. Kwa tulipo sasa, 512MB kwa watumiaji wa kawaida ni fresh, ingawa kwa wale high end users kama chief-mkwawa na wengine, muhimu 1GB na kuendelea. Pia ni muhimu to pick high internal storage, kuanzia 1GB kuendelea. Madhara ya kuchagua internal memory ndogo, yanaonekanaga pindi utakapo install apps nyingi, utaishia kupata ujumbe wa Low Memory. Pia simu inakua nzito na ina load taratibu sana apps. Inaboa sana hii. Ukiona internal memory imeandikwa katika specification ya simu, angalia pia na Available memory. Sometimes unakuta simu imeandika internal storage ya 4GB hafu unayoweza kutumia (User Memory/available memory) ni only 1GB. Kua makini kidogo. Pia katika case ya memory, usisahau kucheki kama kuna uwezekano wa kuweka memory card au haupo. Hapo ni maamuzi yako tu.
  • Processor: Hii ndio ina determine how fast your phone itakua iki process vitu. Ni muhimu sana ikiwa kubwa kubwa. Sio mbaya kuanzia 1Ghz. Pia kuna vitu kama aina za processor (Mfano: Kuna Mtaalamu ataelezea hapa), pia is it single core, dual core, octacore or? Ni muhimu pia.
  • Battery: Hapa wewe tu. Je, unakaa mbali sana na umeme muda mwingine? Ni aibu kutopatikana kisa eti simu iliisha charge. So, angalia specification za battery, ambapo utaona unit za mAh (mili-Amperes per hour). Ikiwa kubwaa na ndio inakaa sana na charge. Kwa kuanzia na 1500mAh sio mbaya. Nadhani ukiwa na battery hii hafu wewe ni mtumiaji sana wa internet (3G), kila baada ya masaa 5, tafuta socket. BTW, smartphones zoote swala la battery tuwasamehe tu. Kukuta machine inakaa na charge masaa 24 in use, ni adimu sana. Pia kuna baadhi ya simu attery zake haziwezi kutolewa kirahisi rahisi kama tulivyo zoea (non-removable battery, mfano iPhones zote). Ili nalo linaweza kua la muhimu. Kuna watu wanafanya kazi ktk mazingira ambayo wanaweza kukaa mbali na umeme zaidi ya siku 2, so wanakua na battery mbili au tatu, wanazicharge then zinakua za backup. Mbadala, kuna Power banks, kanakua kama ka bettery unakacharge kakiwa full, baadae kataipunguzia simu yako charge. Sijui kama nimeeleweka.
  • Camera: Wale wa kutunza kumbukumbu na kujianika instagram, facebook inawahusu. Kwanza angalia ukubwa wa MegaPixels. Hapa ukianzia 5MP ni safi, ingawa ata 3MP iko poa. Unaweza enda hadi 20MP na 41MP kama unapenda sana camera phone. Cheki Sifa za ziada za camera kama OIS-Optical Image Stabilization, Flash, Geo taging, Face/Smile detections etc kama utakua interested. Kama unapenda second camera (front camera) nayo consider. Hii ya mbele inakuaga ndogo, sana sana max 2MP.

Kuna vitu vya ziada kama Multitouch, Bluetooth/Infrared, java, browser, colour, FM radio, torch, etc ambavyo unaweza pia vizingatia, ila sijavipa sana uzito.

Mi nadhani kwa vitu vya muhimu sana nimeishia hapo. Mtu yoyote anaweza kuongeza au kupunguza kitu. Sijarecomend mtu anunue simu fulani, ila ni specs tu ndio nimejaribu zitaja.

Thank you.:usa:

Mkuu nashukuru kwa post yako....

Nina maswali machache naomba unisaidie ili nijue ninachokinunua.

Binafsi nilikua natumia simu aina ya Samsung ace 3 ila bahati mbaya ilivunjika kioo hivyo ikanilazimu kuuza.

Mpaka sasa sijajua ninue simu gani maana ni mimi mpenzi wa ku browse kwenye mitandao mbalimbali na ku download move, hivyo nahitaji simu yenye nguvu kiasi hasa kwenye ku download movie na ku play magemu

Nilifikiria Iphone, lakini katika pitapita zangu humu jf nimegundua itanibana sana, hasa ukizingatia watanzania wengi tunashea vitu vingi sana kupitia simu.

Zaidi navutiwa na simu ya ukubwa wa kioo nchi 4-4.5, ikiwa sony nitavutiwa nayo zaidi.

bajeti yangu haizidi laki 6.
mkuu nategemea ushauri wako wa ziada hasa kuhusu iphone na nyinginezo.!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom