Wewe unaishi DAR. Ungekuwa Mtwara, 100% ww ni miongoni ya wanaopinga dhuluma. "Wana Mtwara Gas kwanza uhai baadae". Kuwa mwana Mtwara pingana na dhuluma, uhai sio kitu, ukiwa kama serikali utadhalilika, sababu unaemdhurumu kila kunapokucha anakuwa na kitu kipya na kizuri zaidi ya jana. Tuache dhuluma kaka tutaumbuka.
Halikuwa lengo mkuu, lakini kule kuteketezwa mali zao kamanaunga mkono hoja ila kwanini hadi sasa hawajaua hata polisi mmoja?
Mkuu afute hilo wazo la minara ili ujengwe mnara mmoja tu mkoa mzima au kusini yote.Naunga hoja mkono mwanangu Gazeti. Hapa umelenga ingawa mimi siungi mkono kuanza kujenga minara wakati wahanga wengine watafuata vinginevyo kama umma umeamua kunywea na kuingia hasara kwa kusitisha mapambano ya ukombozi dhidi ya ufisadi.
Mtoa mada kateleza, siyo rahisi.
Yaani kwa Comment hii nafahamu fika kuwa wewe hujajivua GAMBA kama wenzakoAkili ni nywele nimeamini......basi mnara ukajengwe pale halmashauri ya masasi ili uwe kumbukumbu kwa wanawetu kuwa sie tulichoma moto halmashauri kwa gas ya msimbati km 240 toka masasi.
Pia tuandikie kuwa wenzetu wa mtw vijijini hata mti hawajachoma....na hakuna madhara yaliyotokea.