kuna limit ya kunyoa nywele au?
Ha ha ha ha hah hakika huko tutayaona mengi.
Mawadern wapo Social na utakapofika waulizie utakaowakuta hapo na watafanya utaratibu wa Magodoro. Hata hivyo watakusaidia godoro kwa usiku huo tu kwa utaratibu maalum na kesho yake utalirudisha ili ufanye taratibu za usajili.
kuna limit ya kunyoa nywele au?
vp lakini mwana medicine ya hapo imetulia, pia huu ni mwaka wa ngapi wanatoa hyo kozi, hali ya maisha kwa ujumla iko vp, malecture wapo wa kutosha au niaje
5. Nauli kwa daladala ni Tsh 350 kwa safari yoyote ndani ya College, Kutoka Jamatini hadi Chuo ni 350 pia. Wahuni wanapiga hadi 1500/- kwani wanajua kuwa ni wageni hamjui kitu.
hapo kwenye red rekebisha mkuu ni 300/-.
Jamatini-Social/bondeni 300/-
Jamatini-Medicine 450/-
Jamatini-Education 350/-
Jamatini-Informatics 350/-
kwa MD ndio watafika mwaka wa 4 mwaka wa masomo utakapoanza.
Yote 9 mbona hujawelezea kuhusu hali ya kisiasa na ushabiki wa vyama au migomo na kwa nini mwaka huu imepunguaMawadern wapo Social na utakapofika waulizie utakaowakuta hapo na watafanya utaratibu wa Magodoro. Hata hivyo watakusaidia godoro kwa usiku huo tu kwa utaratibu maalum na kesho yake utalirudisha ili ufanye taratibu za usajili.
, Nasikitika kuwaelezea vijana kwamba yale mavazi yetu na magwanda yetu tunayapenda saaaaaaaanaaa, ila dah, naogopa kusema kwamba tuyapumzishe tu nymbani, kwani hali ni mbaya sana. Ushabiki wa vyama vya siasa (Hasa vidole viwili) kwa Chuo chenu ni utata. Hata hivyo nisikukatisheni tamaa kwani hatujui mazingira yatakuwaje. We have to be situational sometimesYote 9 mbona hujawelezea kuhusu hali ya kisiasa na ushabiki wa vyama au migomo na kwa nini mwaka huu imepungua
Umenifurahisha zaidi kuhusu Canteen hasa ya Mwarabu na ubora wa vyakula vyake, na mm nawashauri waende vibanda vya mama Lishe kule chini ya uwanja Social na Vinywaji vipo waelezee
soccer vp viwanja vnatosha au?
vp brother kuhusu college of social science, kwa upande wa hostel,mavazi na maisha kwa ujumla