Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,679
- 31,073
Mkuu baada ya mahakma ya kiti motoz jana unarewind.Asubuhi yote hii mtu anaweza michepuko alafu tunalalamika maisha magumu.
Kweli inaingia akilini????
unadaiwa elfu30 ya sukari kumbe sukari elfu5 inayobakia anapeleka saluni, kwao, kuchangia kitchenparty.......kodi ya nyumba haombi anakumbushia tu....
NDO NINI (KWA SAUTI YA JOTI)Ukiwa na hela you wont even feel the pinch...
Ha ha ha !!!!
Ngoma droo, timu ya nje na ya wenyeii
ze mchepukoz mixer ze hiv + kaswende plus kudedi ze watoto ze yatima zen ze nduguz wanagawana mali ze answer iz= ze poverty to ze nation and zen blame ze government[/QUO
Hahaha kweli aisee.
Kweli mzee!ze mchepukoz mixer ze hiv + kaswende plus kudedi ze watoto ze yatima zen ze nduguz wanagawana mali ze answer iz= ze poverty to ze nation and zen blame ze government
Ha haNdo dawa maana tukiomba kimoja kimoja maneno yanaanza...na wakati mwingine hupati sasa acha kutoa ya sukari utakunywa hivyo hivyo