Ushauri kwa wahitimu na vijana

baiser

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,487
Reaction score
2,265
Napenda kushauri graduate wote ambao hawapo kwenye ajira rasmi za Serikali na mashirika binafsi kuwa mwakani 2020 kuna fursa kubwa ya ajira katika nafasi mbali mbali za kisiasa kama udiwani,ubunge na urais

Hivyo kama ambavyo mnajazana kwenye usaili wa ajira tena katika nafsi moja au mbili tuone kwamba hiii ni fursa kubwa yenye uwezekana was kufaulu na kupata kazi ya kuwatumikia wananchi.

Ntajisikia mwenye furaha kuona kila kata na kila jimbo wanajitokeza graduate wakutosha kugombania hizo nafasi.

Tunaimani tutapata watunga Sera wazur wanye mawazo ya sasa sio ya kizaman ya wazee wetu ambao wanahubiri kujiajiri lakin hawakuweza kufanya hivyo enzi zao.

Na mwisho natanguliza shukran zangu kwenu kwa kuwatia hamasa kua biashara inayolipa sasa hivi ni siasa tu na ni kitu rahisi sana kukifanya sababu unaongea unachojiskia na hakuna wakukuhoji na hata ukihojiwa unatoa jibu lolote.
 
Uzi mzuri ila utakosa wachangiaji vijana kwenye nafasi hizi huwa tunakuwa nyuma nyuma sana mimi binafsi nishachukuaga maamuzi haya kitambo since 2014 nikiwa kijana mdogo wa miaka 20 katika nafasi ya ujumbe wa serikali za mitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sanaaa mkuu inabd tubadili mtizamo tuone kama hii ni fursa kama fursa nyingine na tusiziache sabb ya watu fulan fulan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri kama huu jaribu kwa ndugu zako kwanza kweny uchaguz Wa serikal za mtaa then ukifanikiwa ndo uwape graduate
Sawaa ntafanya hivyoo.ilaa kuna jamaangu wa karibu ni diwani sahv ni mwl wa art graduate aliingia uchaguzi mdogo baada ya kukaa kutembeza bahasha mda mrefuu na amini usiamin graduate wanaaminika sanaa na hasa katika vuguvugu hili la vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana hawahawa wenye mlegezo na kiduku?
 
Mwaka mmoja tu ulinitosha kukaa kitaa asikwambie mtu kitaa stress kinoma kushtuka uchaguzi wa serikali za mitaa huo nikaruka nao matokeo nikapiga kura kibao mpaka nikajiogopa naonekana mtoto nimepindua wazee yaani stori ya daudi na Goliath

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…