1: kama unaamka asubuhi kwenda kukimbia na kwasababu ubongo unakuwa umekauka unashauliwa kunywa maji ili kuuchangamsha ubongo na usipo fanya hivyo ukienda mazoezini unakuwa mvivu kufanya mazoezi.
2: unapo Fanya mazoezi usitumie viatu vyenye soli ngumu kwasababu ukitumia kiatu chenye soli ngumu migumu inakuwa inakaza na inafikia wakati misuli ya miguuni inaanza kuuma.
kwahiyo kiatu chenye soli inayo nesa ndio kinafaa zaidi kwa kujenga misuli.
3: unapo Fanya mazoezi usihemee mdomoni
kwani kwa kufanya hivyo kwa muda mrefu inaweza kukusababishia ugonjwa wa pumu.
4: Kama unakimbia unasikia kichomi kwenye moyo Mara kwa Mara jaribu uwe unaenda jimu kunyenyua vitu vizito kwani kwa kufanya hivyo itakusaidia kukaza misuli ya kwenye moyo.
5: ukitoka kwenye mazoezi usile kitu chochote nyenye sukari ndani yani ya masaa mawili kwani kwa kufanya hivyo utakuwa umeharibu zoezi lote la siku nzima.