Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Tafadhali hamasa zisiishie JamiiforumsMambo yanazidi kuwa matamu Mwanza CCM imefutwa
Mimi niko kitaa tena kanda ya Ziwa yaani huku mambo yote ni LISSU na Dema tena GEITA ndio usisemeTafadhali hamasa zisiishie Jamiiforums
Leo Dar es salaam kulikwa na Tamasha la Mpira ya Yanga lenye kiingilio lakini Kampeni za Chadema hazikuwa na kiingilio ila wakazi wa Tabata Segera na Maeneo ya Jirani walioona Mechi ya Yanga ni muhimu kuliko ujumbe wa Lissu ni wengi sana..Watanzania msiwafanye wajinga ila Mimi nimezenguka mikoa yote kuanzaia kusini mpaka kasikazini
Ukweli Ni kwamba watu wapo tayari kwa mabadiliko ila walikuwa wanasubiri ni nani analeta hayo mabadiliko?
Ila ukweli kwa Sasa watu wapo tayari kwa mabadiliko makubwa na Lissu ndio muarobaini wa huu utawala.
Unafikiri hizo amshaamsha za wanamziki zinafanywa bure? Unadhani hao wasanii wote wanaenda kwenye majukwaa ya CCM kwa kupenda pamoja na kuwa wanalipwa ?Naipenda CDM siwezi kupoteza kura yangu kuipa CCM.
Kiukweli kabisa Mbowe hakustahili kuwa mwenyekiti tena kaishiwa maarifa mapya.
Amsha amsha hazipo kabisa as if ndo mara ya kwanza tunashiriki uchaguzi mwaka huu.
Pesa ndio issue, yawezekana hawana budget ya intertainment.Tafadhali hamasa zisiishie Jamiiforums
Ilipaswa wafike Uwanja wa Taifa30 Agosti 2020
UZINDUZI CHADEMA KAMPENI 2020, SEGEREA, DAR ES SALAAM. SERA ZAVUTIA WANACCM NA WAMEAHIDI KUIPIGIA KURA CHADEMA
Hoja zenye mvuto kwa waTanzania bila kujali vyama zaporomoshwa leo Segerea jijini Dar es Salaam, naam ndugu zangu wa CCM Mpya baada ya kusikia hotuba zao za ufunguzi Dodoma waliishiwa na nguvu kuwa waweke rehani maisha yao kwa Mafuguli kwa miaka mingine mitano wamekataa sasa wanehamishia matumaini na kura zao kwa Tundu Lissu na wabunge wa CHADEMA kwa wingi sana, hakika sasa kimbunga kinasomba waTanzania wote wenye kutaka na kuelewa Maendeleo ya Watu.
Bajeti ni shida kweli,Pesa ndio issue, yawezekana hawana budget ya intertainment.
Unadhani Lissu atafika Kura za Lowassa kwa sababu ya Kuongea?, unadhani watu milioni sita walikuwa hawajui kuwa Lowassa sio mzungumzaji?Nikilinganisha na kampeni za 2015. Lowassa alikuwa akivutia umati mkubwa lakini anashindwa kunadi sera. Wengi alikuwa akiwakatisha tamaa. Hapa Dar aligawana kura sana na Magu na alimzidi kura chache sana. Wabunge wengi wa Dar (Mdee, Mnyika, Kubenea etc) walipata kura nyingi kuliko Lowassa.
Kampeni za 2020 bado hazijavuta mikusanyiko ya mikubwa. Lakini Lissu ananadi sera vizuri. Wakiendelea kusambaza hizi short videos za Lissu kwa wapiga kura kupitia Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp watawafikia mamilioni ya watanzania bila kuhitaji hayo mashindano ya nyomi. Siasa ni sayansi.......na cha muhimu ni Lissu aendelee kuwashawishi wapiga kura.......Na anafanya hiyo kazi vizuri.......
Una uwezo wa kuzunguka? au umezungukwa?? Mtoa mada kuwashauri kitaalamu lakini kwa ubishi wenu kaeni hivyo hivyo.CCM inawapiga mabao kama mmesimama.Kwa taarifa yako majukwaa safari hii siyo issue.Leo mbowe au Lissu mmoja wao alitakiwa kuhudhuria uwanja wa mkapa kama mpezi wa timu ya wananchi.Watanzania msiwafanye wajinga ila Mimi nimezenguka mikoa yote kuanzaia kusini mpaka kasikazini
Ukweli Ni kwamba watu wapo tayari kwa mabadiliko ila walikuwa wanasubiri ni nani analeta hayo mabadiliko?
Ila ukweli kwa Sasa watu wapo tayari kwa mabadiliko makubwa na Lissu ndio muarobaini wa huu utawala.
Hivi ww upo Tanzania au wapi,sasa chadema arudi kufanya mazungumzo na vyombo vya habari maana yake ni nini???
Wamiliki wa vyombo vya habari ndio hawahitaji kufanya kazi na chadema sababu wamekatazwa na CCM toka 2016 sasa ww unaposema CDM wafanye mazungumzo nao sijui unakielewa unachokizungumza???
Wenzio nyomi kwao ndo kila kitu. Yaani wasipopata nyomi usiku hawalali. Toka kampeni zimeanza, hatuzioni picha zao za kampeni zinarushwa kwa nadra sana. Hii kanda ya pwani mpaka sasa wameshafeli labda wakienda huko maeneo mengine.Nikilinganisha na kampeni za 2015. Lowassa alikuwa akivutia umati mkubwa lakini anashindwa kunadi sera. Wengi alikuwa akiwakatisha tamaa. Hapa Dar aligawana kura sana na Magu na alimzidi kura chache sana. Wabunge wengi wa Dar (Mdee, Mnyika, Kubenea etc) walipata kura nyingi kuliko Lowassa.
Kampeni za 2020 bado hazijavuta mikusanyiko ya mikubwa. Lakini Lissu ananadi sera vizuri. Wakiendelea kusambaza hizi short videos za Lissu kwa wapiga kura kupitia Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp watawafikia mamilioni ya watanzania bila kuhitaji hayo mashindano ya nyomi. Siasa ni sayansi.......na cha muhimu ni Lissu aendelee kuwashawishi wapiga kura.......Na anafanya hiyo kazi vizuri.......
Sawa nduguHayo mambo ya kizamani mtu yupo gym,
baharini anavua samaki, gengeni anauza mananasi, chumbani kapumzika anasikiliza kampeni huku akiendelea kupata hoja safi za upinzani .
Wingi wa watu ktk fiesta za CCM Mpya hazivutii waTanzania wapambanaji waliokumbatia teknolojia ya kisasa inayo wapa uhuru wa kusikiliza au kutazama kampeni hizo live au baadaye wakiwa mbali na mazingira ya mikutano ya kampeni.