Ushauri Kwa viongozi wa CHADEMA

Ushauri Kwa viongozi wa CHADEMA

GEITA FARM

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
336
Reaction score
173
Ndugu Watanzania na wazalendo wa nchi hii napenda kutoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA. Jeshi la Polisi limejipanga kukabiliana na kuzuia maandamano ya 1/09/2016. Siku ya leo 22/08/2016 magari ya Jeshi la Polisi zaidi ya kumi na sita yamezunguka jijini Mwanza akina mama na wazee walikuwa wakilia ovyo wakidhania vita imeanza.

Kwa mazoezi ya leo ya Jeshi la Polisi na urushwaji wa ndege za kivita juu ya anga yamezua taharuki kwa wakazi wa jijini Mwanza. Napenda kutoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA waandae vilevi vikali waandamanaji watumie kabla ya maadamano. Kwa jinsi wanamwanza walivyojionea sidhani kama mtu mwenye akili timamu ataingia barabarani kuandamana.
 
magari yao yalikosa kazi ....sasa kusikia maandamo ya chadema wameona magari yao yamepata kazi........kwani wanaogopa nini kuona chadema wakiandamana......hofu yao kubwa ni nini kwa chadema.
 
Back
Top Bottom