Usisikilize ambao ndoa imewapiga chenga.watakushawishi usioe kwa kuwa ndoa ngumu na utateseka. kiukwel ndoa n nzur nainategemea na bahat unaweza pata mzuri au m baya. ila kiukwel tusiige kwa waliofel tujarib kwa waliofaulu.