Vuka Mphefumulo
Member
- Oct 29, 2016
- 19
- 8
Hii ni kwa wote iwe ndani ya chuo au kati ya Chuo..baada kumeet zile criteria zote za kufanya transfer,ni muhimu kuhakikisha programme unayohamia ina kiwango cha ada sawa na ile unayohama sababu kama ada ziko tofauti hua kuna usumbufu mkubwa sana wa kuhamisha mkopo..otherwise swala la kuhamisha mkopo sio case kubwa sana.NAJUA NACHOONGEA.
