Ushauri kwa vijana kuhusu mapenzi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kijana usioe mwanamke ambaye unaona una mpenda saana mpaka una kosa raha. Fanya kila liwezekanalo huachane na huyu mwanamke. Hata kama utaumia kiasi gani ukiachana naye my bro wewe kaza moyo tu au fumba macho na hisia zako umpotezee huyo mwanamke

Kwanini na sema hivi
Kwasababu ukioa mwanamke ambaye ana jua una mpenda saana atakusumbuwa katika ndoa
Na inawezekana kabisa akawa na toka na wanaume wengine kwa kukuchukulia wewe kama zezeta

Sababu ya pili: ukioa mwanamke ambaye una mpenda saana utakuwa na wivu wa kupitiliza saana kwake kitu ambacho kinasumbuwa wanawake wengi japo wivu ndo mapenzi ikizidi inakuwa mapanzi

Sababu ya tatu : ukiona mwanamke ambaye una mpenda saana kuna uwezekano wa kuachana na huyo mwanamke katika ndoa
Kwanini na sema hivi
Kuna baadhi ya wanaume ambao hua tuna penda kwanza alafu tuna kuchukulia poa tukisha kuzoea tunaanza kukuona msumbufu
 
Kwanini na sema hivi
Kwasababu ukioa mwanamke ambaye ana jua una mpenda saana atakusumbuwa katika ndoa
Na inawezekana kabisa akawa na toka na wanaume wengine kwa kukuchukulia wewe kama zezeta
100% perfect
 
HAYANAGA FORMULA HAYA MKUU, ISHI UNAVYOWEZA MAISHA YENYEWE MAFUPI
 
Watu tuko tofauti me mwanamke ambae simpendi siwezi kua nae maana hisia zangu zisipokua nawewe utaona tu rejections nitakozokua nazitoa dhidi yako kwaiyo hua nashindwa ku act nitaoa nitakaekua na mfeel ili ni flow nae kwakujiamini .. I mean niwe na confidence ya kwenda nae popote church, mall , sehem za starehe nk.. so kama simpendi sana mke wangu hivi vitu vyote nitaona kero kuvifanya nae .. ukimpenda mtu hutotamani ateseke Hii nimeiona kwa bibi siku tulizokua tuna lala na Njaa nilikua naumia sana shida Aikua kwangu kulala bila kula bali kumuona bibi yangu akilala na njaa iyo kitu ilikua inanikata sana adi saiz nikionaga sim yake tu akilalamika hana chakula hua niko Radhi kukopa ili nimtumie .

So love leads ukimpenda mtu hua kuna Amani ya moyo hutokua na makando kando sana you do it for your own peace and that’s love [emoji177] ata akikuona boya iyo inakua ni juu yake mwenyew but am pretty sure ipo siku atakaa sehem nakusema kweli mume wangu/ mke wangu ananipenda so option inakua kwake kuacha Penzi la kweli au kulikumbatia na ata akikuacha si mda mrefu atatamani kukurudia . Don’t be fake be real .
 
Mtoa mada upo sahihi 100%...ishawah nitokea....tuliachana kwa ugomvi mkubwa sanaa..ila after a wile tulijarbu kurudiana ila mwenzangu akafikir nipo kinyonge kama zamani..akaanza kufanya tena drama..surprise nliomfanyia hatokaa apite nlipopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…