Tumwache afanye maamuzi yake ila Yanga tufanye replacement iliyo bora zaidi ili kuonesha kuwa Yanga inaweza kuishi bila Fei toto na mambo yakaenda sawa zaidi na kuna watu zaidi yake.

Yanga wanadharau sana wachezaji wazawa inawezekana alishakaa sana mezani alichoambulia ndio hiyo 4m anayokula na hapo ukumbuke kuwa mkataba mpya alisaini 2020 tu hapo wakati ambao Kisinda alikuwa anakula 10+ hapo yanga
Tumwache afanye maamuzi yake ila Yanga tufanye replacement iliyo bora zaidi ili kuonesha kuwa Yanga inaweza kuishi bila Fei toto na mambo yakaenda sawa zaidi na kuna watu zaidi yake.
Nadhani Feitoto haondoki Yanga ili kuionyesha timu haiwezi kuishi bila yeye ila anaondoka kutokana na maslahi hivyo ungeishauri yanga kuwaongezea mishahara wachezaji wake wengne waliobaki hasa wazawa ili kuonyesha kumbe wana uwezo wa kupata maslahi mazuri wakiwa hapo hapo Jangwani

Binafsi najua mpira ni ajira kwa mchezaji yeyote yule hivyo kila upande uangalie namna ya kufikiana muafaka, na mkishindwana basi waachie wanaowezana nae kumpa stahiki zake anazohitaji